Sikubaliani kabisa na wewe. Mtu hadi kufikia kufikiri hivyo ni kwamba kasumbua akili yake na kamwe kwangu huo hauwezi kuwa uzembe.
Kusumbua akili si monopoly ya wasio wazembe. Wengine wanaweza hata kukwambia wazembe ndio hodari wa kusumbua akili kwa sababu hawajui kufikiri efficiently na kufikiri kuhusu vitu vyenye tija.
Mtu mmoja hawezi kufanya yote. Wewe pale unapoona kuna mapungufu kwa nini usitoe mchango wako kuziba hayo mapungufu? Knachokushinda wewe ni nini?
Mtu mmoja hawezi kufanya yote lakini anaweza kufanya the most basic researches kwa kutumia google. Mwanakijiji hakufanya hata hiyo.
Of course wewe haupo eeh? I figured as much!!😛oa
Mie ndiyo nimekataa kuimba kwaya bila details, utaniunganishaje tela?
Hapa nakubaliana na wewe. Kukaa pembeni na kusubiri kulaumu laumu na kukosoa tu ni uzembe. Kama unaona wenzako wama mapungufu kwa nini usitoe mchango wako kuziba hayo mapungufu kama na wewe kweli una maslahi?
Which underscores my point even more. Kama mtu hana details utaanzaje kuchangia in an efficient, meaningful way?
Kuna Physicist mmoja akiitwa Wolfgang Pauli, huyo mzee walikuwapo graduate students wanampelekea theories zao azi asses na kusahihisha, basi ukimletea kazi haijakaa sawa anakwambia "hii siwezi kuisahihisha kwa sababu it is not even wrong" maana yake, unaweza ukawa so off base kiasi kwamba watu wakashindwa hata ku falsify claims zako, kwa sababu huna details. Hapo unakuwa not only not right, but also not even wrong, less than wrong actually.
Sasa hii idea ya Mwanakijiji ndiyo ina fall huko kwenye "not even wrong", how can it be wrong while it doesn't even have details?
Stop being lazy! You can bring what you are requesting others to bring....or can't you?
Aliyependekeza ndiyo alete details, mie naweza kukwambia miradi mikubwa mikubwa isiyo ya lazima yote kwa nchi masikini siitaki na sina incentive ya kuifanikisha kwa kuipromote hapa, utaniambiaje?
Yaani aliyetoa pendekezo bila details sio mvivu, mie ninayekwenda kutaka details ndiye mvivu? Mvivu toka lini atake details? Mvivu anakimbia details.
Mipasho ya nini tena? Kwani tuko Buliaga Bar hapa?
You don't have the nose to tell mipasho from Cultute.