Hivi mnafikiria huko China hakuna ufisadi? Au China viongozi wote ni wazuri na wazalendo?
Nimetumia mifano hapo juu kuwa daraja la China na hata hili linalopendekezwa la Saudia yamegharimu dola bilioni 3! Ukifikiria sana siyo hela nyingi kihivyo! Two years ago Tanzania imetumia dola bilioni 1 kwa ajili ya stimulus package! In the past decade we have lost almost 10 billion USD katika corruption!
Binafsi siamini kama tatizo ni fedha! We don't have that problem at all.
Binafsi siamini kama tatizo ni fedha! We don't have that problem at all.
hivi kuna Mtu humu anaweza kufikiria kuwa kujenga daraja kama hili linawezekana hapa Bongo??. Kama mradi utakadiriwakuwa 1.5 trn likiisha utaambiwa zimetumika 10trn . Tunashindwa na vitu kama madawati umeme leo uje kufikiria kitu kama hiki
Hujajibu swali, hujatuambia kuna kina kirefu gani, kitakachohitaji daraja liwe la teknolojia gani, itakayogharimu kiasi gani, ambacho safari za kwenda Zanzibar sasa hivi kwa boat zikibadilishwa na kufanywa kwa daraja tutafaidika vipi na biashara itaongezeka vipi na ni muda gani utapita kabla ya hizo fedha hazijarudishwa.
Kitu gani hasa kinachohitaji umuhimu wa daraja wakati watu hawana umeme, elimu, makazi, madawa etc?
Hivi mnafikiria huko China hakuna ufisadi? Au China viongozi wote ni wazuri na wazalendo?
Swali zuri lakini siyo sahihi; kwani China wananchi wote wana umeme, elimu, makazi na madawa? India yenyewe wanajenga ile ring ya barabara kuzunguka Delhi lakini haina maana India watu wote wanaishi peponi. Wamarekani walipojenga hizi interstate highways miaka ya 1950s haina maana watu wote wa Marekani walikuwa wanaishi maisha mazuri - wengi walikuwa hata haki ya kupiga kura hawakuwa nayo! Kuwepo kwa matatizo mengine siyo sababu ya kutofanya mambo makubwa! Vinginevyo, tusijenga kabisa barabara au madaraja mengine hadi tuhakikishe kila mtu ana elimu, nyumba na chakula kizuri.
Hivi mnafikiria huko China hakuna ufisadi? Au China viongozi wote ni wazuri na wazalendo?
MJJ, Wazo changamoto lakini lina matatizo mengi kuanzia ya kiufundi hadi ya kiupendeleo. Kiufundi ni vigumu sana kujenga daraja kwenye deep ocean kwa umbali mkubwa.
Kwa kifupi ni kwamba, given U$2bil, TZ kuna mengi ambayo tunaweza kufanya lakini huwa tunazinywa au tunachagua mabaya. Kwa mfano tumetumbua zaidi ya U$300mil kwa Twin towers ambazo zingegharimu around U$80million, almost 400%.
- Utahitaji piles foundations kubwa na za gharama sana, ndio maana hata kuchimba mafuta huko kwenye deep ocean ni kugumu/gharama. Daraja la China na lile la US yaliyo marefu sana (running miles), yako kwenye maeneo ya vina vifupi ukilinganisha na open sea yetu.
- Traffic volume/count ya kuhitaji hilo daraja sidhani kama ipo, magari 1000 kwa siku pia sidhani kama yatafika. Daraja litakuwa a white elephant. Znz ni padogo sana (kiuchumi na population).
- Tuna maeneo mengine ambayo hiyo pesa ingeweza kutumika vema zaidi na ikainua uchumi haraka. Km, pipeline ya mafuta na gesi, barabara ya lami na kujenga reli kuunganisha DRC, Rwanda, Burundi na Uganda na bandari zetu ni muhimu zaidi kuliko hilo daraja.
- Kupanua na kurutubisha (modernize) bandari zetu au kujenga mpya ingekuwa bora kuliko daraja la ZNZ.
- Kuhakikisha tunakuwa na umeme wa kutosha na ulio bora ili wanaotaka kuanzisha viwanda waweze kuwa na uhakika na investments zao.
- Kusambaza optics fiber nchi nzima ingeinua na kurahisisha mawasiliano (simu, internet n.k) ambako ulimwengu ndio unakoelekea. Hii ina faida nyingi zadi ya mawasiliano.