Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

misikitini hakufanyiki utapeli
Mkuu Mimi ni muislam,
Lakini kinachofanyika kwa dini zingine ni upuuzi.

Hata kuna Aya zinasema.
Surat kafiroon.
--Enyi makafiri

--Ninacho abudu Mimi.
Sicho mnachoabudu nyie..

--Kila mtu anaabudu anachokiamini.
--nyie mna dini yenu na Sisi tuna dini yetu.

Sasa ya nini kuvunja nyumba za ibada ya Imani zingine?.

Ndy mafundisho ya mtume wetu Muhammad ( SAW)?
 
Tangu kanisa linajengwa kulikuwa na katazo la kujenga kanisa.

Kila mtu ana Imani na ana abudu kwa Mungu wake.

Mambo ya kuvunjiana makanisa na kuchomeana misikiti ya nn?


Hili ni tukio baya kuliko lile la zamuradi.

Tuone whts comes next kwenye mkono wa Sheria.
 
matapeli wako kila mahali kuna yule maalim alisema kiongozi mmoja marehem ni zaidi ya allah? sio utapeli huo
Sheikh wa mchongo Alhad, kwa namna yeyote Ile ningekuwa muislam nisingekubali yule jamaa asalishe nikiwepo.

Amekaa kitapeli sana Kama gwajiboy
 
Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Ila kujenga msikiti ni sawa? Mbona misikiti tunayokila mahala tena ipo katikati ya watu, kila mara wanapiga hadhana sijui inaandikwa hivyo, usiku saa 10 kila siku wanatuamsha, sema ni ubaguzi wa dini tu ubnafsi.
 
Halafu Kristo huwa anajipigania mwenyewe
 
Wewe muislamu jina
 
Utakuwa mkristo wakubumba, umehamia sehemu hakuna kanisa kwahiyo usifanye ibada kisa hapa nikwa waslamu? Ulitaka ahamie msikitini? Wewe si mkristo!
 
Wewe muislamu jina
Kila mtu ana anachoabudu..
Kwa Imani yake.

Nini kufatana fatana?

--Wewe baki na imani yako kwamba Yesu ni Mungu jr ..

--waislam wabaki na Imani yao kwamba Nabii Muhammad (SAW) Mtume wa Mungu.

Na Allah ndy mmiliki wa mbinu/ardhi na vilivyomo..

Yanini malumbano ya kuvunjiana makanisa?
 
Nitafute ili nitoe mchango wangu hadi haki ipatikane, inauma sana
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
Huez kijenga nyumba ya ibada mahala popote unapojisikia,dini ya islam ilikuja miaka mingi mbele ya dini mnayoita ukristo ingekuwa inaogopa competition isingezaliwa,tumia akili ktk kufikiri!!
 
Kazi ipo, sijui "Alikiba" anasemaje!.
 
Marko 6:3 “HUYU SI YULE SEREMALA, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake”.
Kwani ufundi selemala na fundi mjenzi nikitu kimoja?
 
Lakini kesi hizo ni nyingi kama za wenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…