Ila unaweza ukajenga msikiti? zanzibar hawataki ujinga!Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilikaKila mtu ana anachoabudu..
Kwa Imani yake.
Nini kufatana fatana?
--Wewe baki na imani yako kwamba Yesu ni Mungu jr ..
--waislam wabaki na Imani yao kwamba Nabii Muhammad (SAW) Mtume wa Mungu.
Na Allah ndy mmiliki wa mbinu/ardhi na vilivyomo..
Yanini malumbano ya kuvunjiana makanisa?
Mbona kuna makanisa ya katoliki? Tatizo ni haya ya kitapeli yanayowinda sadaka kwa miujiza ya kitapeli?Ila unaweza ukajenga msikiti? zanzibar hawataki ujinga!
Mm Ni mkristo Ila makanisa Sasa yamezidi kuwa mengi na ulagai piaUtakuwa mkristo wakubumba, umehamia sehemu hakuna kanisa kwahiyo usifanye ibada kisa hapa nikwa waslamu? Ulitaka ahamie msikitini? Wewe si mkristo!
yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Mbona hilo kanisa la TAG wamebomoa sasa tena karibu na kipindi cha Ramadhani ?na hata Zanzibar Makanisa yapo mengi tu mkuu
Hiyo sheria unaiona ikifanya kazi huku bara?Kwanini wasinshtaki badala ya kuchukua sheria mkononi? Mbona sheria inayozuia kelele kwenye makazi ipo.
Zanzibar na uislamu wao iko siku.
Itafanyaje kazi kama hakuna mtu anayetaka kuitumia. Jaribu uone.Hiyo sheria unaiona ikifanya kazi huku bara?
Ila kujenga msikiti ni sawa? Mbona misikiti tunayokila mahala tena ipo katikati ya watu, kila mara wanapiga hadhana sijui inaandikwa hivyo, usiku saa 10 kila siku wanatuamsha, sema ni ubaguzi wa dini tu ubnafsi.
Sinagogi ni nyumba ya ibada ya wayahudi tafuta historia au elimu ya dini utagundua kuwa uyahudi ni dini iliyokuapo zamaniMkuu sinagogi ni msikiti wa wayahudi.
Sio kanisa.
Utapeli upo kokote tu mkuu..Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
Sio nyumba ya ibada ni msikiti wa wayahudi.Sinagogi ni nyumba ya ibada ya wayahudi tafuta historia au elimu ya dini utagundua kuwa uyahudi ni dini iliyokuapo zamani
Pia mahekalu yalikuwapo kipindi cha Kristo....
Soma,,,,,
—Yohana 18:20.
" Sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, ambapo Wayahudi wote hukusanyika.”
Labla Saudia ya Bonyokwa sio hiyo ya HijaUtapeli upo kokote tu mkuu..
Hata Sisi waislam pia misikitini tumejaa utapeli.
Kama sio utapeli na njaa ni nini kinasababisha viongozi wa msikiti kung'ang'ania madaraka?
Tena ukitaka uuawe gombea madaraka ya msikiti.
.wacha kuhukumu wenzio kwa kigezo cha kujiona upo sahihi..
Hata huko Saudi Arabia ambapo alipoziwa mtume wetu Muhammad SAW makanisa yapo na wakristo pia wapo.
Kaongea logic sana huyu kiongozi
Wewe kiongozi.Labla Saudia ya Bonyokwa sio hiyo ya Hija
Halafu wewe inaonyesha ni mkristo,Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
Sijakataa Saudia wakisto wapo Nchi zote za kiaarabu wapo ila Nchi zote za kiarabu makanisa hamna labla Dubai japo siwezi kuweka asilimia 💯 Saudia nimekaa so usishupaze shingo.kuhusu kufanya ibada wana swali kwenye nyumba zao walizo panga hivi unaongelea Saudia ambayo hata kushikana mikono hadharani kwa watu wasio kuwa mke na mume ni adhabu ya kifo Wewe acha uwongo.Wewe kiongozi.
Mimi nimekaa nao Saudia.
Wakristo wapo.
Wacha kushupaza shingo..
Hivi unajuwa kama wamarekani wapo Saud Arabia maelfu?
.umewahi kujiuliza wanasali wapi?
Nilichokigunduwa Mimi kutokana na experience yng ya kukaa Saudia.
Sisi waafrika tulioisikia dini tunajifanya tunajuwa dini ya kiislam na uchungu nayo .
Kuliko wale wenyeww wenye asili nayo.
Ukiwaona hata hao waarabu wasaudia wanavyo swali.
Nina uhakika swala za waafrica wote ni peponi moja kwa moja.
Usiongee vitu huvijuwi.
Soma hio.Sio nyumba ya ibada ni msikiti wa wayahudi.
Ndy maana vitabu vya dini vinatakiwa visifanyiwe editing.
Kuepuka binadamu kuandika kitu kwa utashi wake.
Hilo la kupiga kelele kwenye makazi ya watu, yale maspika yanayotumika kuazini (nisahihishwe kama nimekosea) kwenye misikiti saa 10 alfajiri kila siku siyo makelele..!?Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
Hivi unajua askofu wa TAG hivi sasa anaweza kuwa amejifungia katika ofisi Yake anamlilia mungu Kwa siku zaidi ya ishirini akinywa Tu maji Hivi unajua nguvu ya roho mtakatifu ikishuka ndani ya MTU anaweza kuwa na kiu ya kuendelea kuomba Kwa mungu Bola kuchoka Kwa siku ngapi?yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?