Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Ila unaweza ukajenga msikiti? zanzibar hawataki ujinga!
 
Kila mtu ana anachoabudu..
Kwa Imani yake.

Nini kufatana fatana?

--Wewe baki na imani yako kwamba Yesu ni Mungu jr ..

--waislam wabaki na Imani yao kwamba Nabii Muhammad (SAW) Mtume wa Mungu.

Na Allah ndy mmiliki wa mbinu/ardhi na vilivyomo..

Yanini malumbano ya kuvunjiana makanisa?
Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
 
Utakuwa mkristo wakubumba, umehamia sehemu hakuna kanisa kwahiyo usifanye ibada kisa hapa nikwa waslamu? Ulitaka ahamie msikitini? Wewe si mkristo!
Mm Ni mkristo Ila makanisa Sasa yamezidi kuwa mengi na ulagai pia
 
Kwako wewe ukristo ni ujinga?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
 
Ila kujenga msikiti ni sawa? Mbona misikiti tunayokila mahala tena ipo katikati ya watu, kila mara wanapiga hadhana sijui inaandikwa hivyo, usiku saa 10 kila siku wanatuamsha, sema ni ubaguzi wa dini tu ubnafsi.

yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
 
Mkuu sinagogi ni msikiti wa wayahudi.

Sio kanisa.
Sinagogi ni nyumba ya ibada ya wayahudi tafuta historia au elimu ya dini utagundua kuwa uyahudi ni dini iliyokuapo zamani

Pia mahekalu yalikuwapo kipindi cha Kristo....

Soma,,,,,

—Yohana 18:20.

" Sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, ambapo Wayahudi wote hukusanyika.”
 
Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
Utapeli upo kokote tu mkuu..

Hata Sisi waislam pia misikitini tumejaa utapeli.

Kama sio utapeli na njaa ni nini kinasababisha viongozi wa msikiti kung'ang'ania madaraka?

Tena ukitaka uuawe gombea madaraka ya msikiti.
.wacha kuhukumu wenzio kwa kigezo cha kujiona upo sahihi..

Hata huko Saudi Arabia ambapo alipozaliwa mtume wetu Muhammad (SAW)
makanisa yapo na wakristo pia wapo.
 
Sinagogi ni nyumba ya ibada ya wayahudi tafuta historia au elimu ya dini utagundua kuwa uyahudi ni dini iliyokuapo zamani

Pia mahekalu yalikuwapo kipindi cha Kristo....

Soma,,,,,

—Yohana 18:20.

" Sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, ambapo Wayahudi wote hukusanyika.”
Sio nyumba ya ibada ni msikiti wa wayahudi.

Ndy maana vitabu vya dini vinatakiwa visifanyiwe editing.

Kuepuka binadamu kuandika kitu kwa utashi wake.
 
Utapeli upo kokote tu mkuu..

Hata Sisi waislam pia misikitini tumejaa utapeli.

Kama sio utapeli na njaa ni nini kinasababisha viongozi wa msikiti kung'ang'ania madaraka?

Tena ukitaka uuawe gombea madaraka ya msikiti.
.wacha kuhukumu wenzio kwa kigezo cha kujiona upo sahihi..

Hata huko Saudi Arabia ambapo alipoziwa mtume wetu Muhammad SAW makanisa yapo na wakristo pia wapo.
Labla Saudia ya Bonyokwa sio hiyo ya Hija
 
Labla Saudia ya Bonyokwa sio hiyo ya Hija
Wewe kiongozi.

Mimi nimekaa nao Saudia.
Wakristo wapo.

Wacha kushupaza shingo..

Hivi unajuwa kama wamarekani wapo Saud Arabia maelfu?
.umewahi kujiuliza wanasali wapi?

Nilichokigunduwa Mimi kutokana na experience yng ya kukaa Saudia.

Sisi waafrika tulioisikia dini tunajifanya tunajuwa dini ya kiislam na uchungu nayo .
Kuliko wale wenyeww wenye asili nayo.

Ukiwaona hata hao waarabu wasaudia wanavyo swali.

Nina uhakika swala za waafrica wote ni peponi moja kwa moja.

Usiongee vitu huvijuwi.
 
Zanzibar hatutaki ujinga, yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
Halafu wewe inaonyesha ni mkristo,

Ila ubaguzi wa utaifa ndy unakusumbuwa..

jonny na msikiti wapi na wapi?

Unaona kama mtu wa bara hana haki kumiliki ardhi huko.

Mimi mwanangu kazaliwa hapo unguja.
Lakini nimempa uraia wa bara ili asije kunyanyasika na ubaguzi baadae.
 
Wewe kiongozi.

Mimi nimekaa nao Saudia.
Wakristo wapo.

Wacha kushupaza shingo..

Hivi unajuwa kama wamarekani wapo Saud Arabia maelfu?
.umewahi kujiuliza wanasali wapi?

Nilichokigunduwa Mimi kutokana na experience yng ya kukaa Saudia.

Sisi waafrika tulioisikia dini tunajifanya tunajuwa dini ya kiislam na uchungu nayo .
Kuliko wale wenyeww wenye asili nayo.

Ukiwaona hata hao waarabu wasaudia wanavyo swali.

Nina uhakika swala za waafrica wote ni peponi moja kwa moja.

Usiongee vitu huvijuwi.
Sijakataa Saudia wakisto wapo Nchi zote za kiaarabu wapo ila Nchi zote za kiarabu makanisa hamna labla Dubai japo siwezi kuweka asilimia 💯 Saudia nimekaa so usishupaze shingo.kuhusu kufanya ibada wana swali kwenye nyumba zao walizo panga hivi unaongelea Saudia ambayo hata kushikana mikono hadharani kwa watu wasio kuwa mke na mume ni adhabu ya kifo Wewe acha uwongo.
 
Sio nyumba ya ibada ni msikiti wa wayahudi.

Ndy maana vitabu vya dini vinatakiwa visifanyiwe editing.

Kuepuka binadamu kuandika kitu kwa utashi wake.
Soma hio.

Quran Sura ya 40

. Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu mtukufu

Sinagogi ni nyumba ya ibada ya dini ya kiyahudi huo ndio ukweli hakuna sehem wameandika ni msiikiti.

Kama ilivyo masjeed msikiti.

Kwa kuongeza Tu yangu mwaka 33 baada ya yesu kupaa mawinguni

Baada ya miaka Mia 600 mbele ndipo akazaliwa Mtume Mohamed akaja kuanzisha dini ya kiislamu.
 
Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.

Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
Hilo la kupiga kelele kwenye makazi ya watu, yale maspika yanayotumika kuazini (nisahihishwe kama nimekosea) kwenye misikiti saa 10 alfajiri kila siku siyo makelele..!?
 
yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya mwendokasi yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika
Kama kuna uhuru wa kuabudu chochote mbona Serikali ilimfungia Nabii Tito? Mbona imefungia Zumaridi?
Hivi unajua askofu wa TAG hivi sasa anaweza kuwa amejifungia katika ofisi Yake anamlilia mungu Kwa siku zaidi ya ishirini akinywa Tu maji Hivi unajua nguvu ya roho mtakatifu ikishuka ndani ya MTU anaweza kuwa na kiu ya kuendelea kuomba Kwa mungu Bola kuchoka Kwa siku ngapi?

Unamfananisha mungu WA pentekoste na zumaridi na wakina masanja wakina Tito aisee.
 
Back
Top Bottom