Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda


Nimefurahia hii confidence ya Rais Mwinyi wa Zanzibar .
Hii vision ni kama ile ya Dubai, na italeta watalii wengi sana Zanzibar.

Hii vision ndio tunataka hata sisi huku Bara.
Sasa huku kwetu watu wale watu wa mwendazake wanamconfuse mama.
 
Si
View attachment 1907533
Nimefurahia hii confidence ya Rais Mwinyi wa Zanzibar .
Hii vision ni kama ile ya Dubai, na italeta watalii wengi sana Zanzibar.

Hii vision ndio tunataka hata sisi huku Bara.
Mlimpinga magufuli nyinyi kwa haya Mambo??

Hata hivyo Hilo Jambo ni swala la muda tuu kwani marehemu maalimu alishalizungumzia kulifanya endapo angepata ridhaa hivyo ni mkakati wa mabeberu
 
Mwenzake huku anapambana kujenda ghorofa ya Tozo.
Hapana tozo Zetu zinaenda huko zenj kuwajenga.
Unit ya umeme iko chini kwao na huwa wanasamehewa Deni la umeme pia.

Meli zigawanywe sawa kwani kwa idadi ya watu wanalingana.

Hela ya Uhuru party igawanywe sawa yaani tunaaacheki.
Wake wawili wanapewa sawa na ilhali na watt wao ratio ni 1/1000000000
 
Fikra za 47yrs back

Kama Hotel verde wanazalisha maji kwa matumizi yao kutokana na ocean water unafikilia nini kuhusu mchanga?.
Hebu tusaidie mchanga watauzalishaje?
 
Angekuwepo, lingejengwa bara
 
Wao wamesema Africa’s 2nd tallest skyscraper we unasema jengo refu kuliko yote ukanda wa Africa vp umekuwaje?
Kenya tayari wanaanza ujenzi wa jengo lenye ghorofa 88 la Zanzibar 70
Usifurahie kupost tu jiridhishe kwanza kabla hujalisha watu vitu ambavyo unageuka kuwa kituko kisa umepost tu
 
mambo mengne n kujitafutia mabalaa tuu ndani ya bahari?? Ina maana nchi kavu hawakuon??🤣😇😋
 
Iwe tourist destination kama dubai au sio? Ndio maana jana walikuwa bize kusaini vipengele vya kuua muungano, daah
 
Ungejua kuandika usinge andika "hakili" ungeandika "akili"
Sasa kwanini unasema mimi naongopa? Hiyo picha nimeitengeneza mimi? Punguza ujuaji wa kifala.
 
Ungejua kuandika usinge andika "hakili" ungeandika "akili"
Sasa kwanini unasema mimi naongopa? Hiyo picha nimeitengeneza mimi? Punguza ujuaji wa kifala.
Matusi ya maandishi hayana madhara,yenye madhara ni yale ya kutamka kwa sauti.
 
Si mlisema amewaondoa wote na kwamba sasa hivi anashauliwa na chikwete!

Au mmesahau?
 
Kwanini wasijenge vinu vya nyukilia kwa ajili ya kufua umeme....huu umeme wa kutoka bara ambao kuulipia hadi wapigiwe magoti siku ukikatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…