Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Je litapata wapangaji?? Au litakua white elephant la kuuzia urojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlimpinga magufuli nyinyi kwa haya Mambo??View attachment 1907533
Nimefurahia hii confidence ya Rais Mwinyi wa Zanzibar .
Hii vision ni kama ile ya Dubai, na italeta watalii wengi sana Zanzibar.
Hii vision ndio tunataka hata sisi huku Bara.
Hapana tozo Zetu zinaenda huko zenj kuwajenga.Mwenzake huku anapambana kujenda ghorofa ya Tozo.
Hebu tusaidie mchanga watauzalishaje?Fikra za 47yrs back
Kama Hotel verde wanazalisha maji kwa matumizi yao kutokana na ocean water unafikilia nini kuhusu mchanga?.
Angekuwepo, lingejengwa baraNi jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70.
Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower na likitarajiwa kukamilika kwenye kipindi cha miaka minne na kutengewa dola za kimarekani, bilioni 1.3. Jengo litajengwa kwenye bahari kwa kutanguliwa na zoezi la kuweka mchanga(land reclamation).
Upande wa Serikali wamesema wameshamaliza majukumu yao na limebaki jukumu la muwekezaji kufanisha mradi.
===========
Zanzibar to build Africa’s 2nd tallest skyscraper and largest hotel in East and Central Africa
Aug 24, 2021 12:00 PM
Zanzibar,
Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago.
The project developer, a joint venture of Tanzanian’ AICL Group and Edinburgh Crowland Management Ltd, yesterday signed a contract with New York and Dubai-based design architect company xCassia that will see the latter come up with architectural designs for what will be the largest hotel in East and Central Africa.
When completed, the 70-floor commercial tower will be the tallest skyscraper in East and Central Africa, and second tallest in Africa, behind Egypt’s The Iconic Tower.
Speaking during the signing ceremony, CEO of Crowland Management Ltd Dr Emmanuel Umoh said one of the objectives for the construction of the massive building was to support Zanzibar in the quest to build a strong blue economy.
“The building which will be called Zanzibar Domino Commercial Tower is expected to be one of the international iconic features, facilitating tourism, culture, and business opportunities,” he said.
The construction of the said project is expected to be in phases, to be undertaken in a period of four years, providing employment opportunities to locals.
Zanzibar’s minister of State, President's Office, Economy and Investment, Mudrik Ramadhan Soraga said the project is a big step toward building a blue economy and the government is inviting more local and foreign investors to the isle.
Founder and design director of xCassia, Mr Jean-Paul Cassia said the idea to construct the project has been a long one, it has taken nearly 15 years of discussions, environmental assessments, budgeting and accessing infrastructure.
Linked by a high and low bridge structure, the development is planned over three key sites: the Arrivals Plaza, Zanzibar Domino, and Island Resort, each with distinct identities and uses the guest experience pathway in a seamless curated journey from arrival to destination.
Hii picha ipo kwenye google siku nyingi,mbona unatupiga mabobishi mchana kweupe?
Mchanga unatolewa chini ya bahari kwa kutumia drechersMswahili lazima ufikirie vikwazo kwanza!
Tumia akili japo kidogo tu,hujaona source ya hiyo picha? Kwahiyo mimi ndio nimeitengeneza hiyo picha?Hii picha ipo kwenye google siku nyingi,mbona unatupiga mabobishi mchana kweupe?
Aisee hapo hakitaelewekahaa,babu umekataa katakata[emoji23]
Hakili za google image search.Tumia akili japo kidogo tu,hujaona source ya hiyo picha? Kwahiyo mimi ndio nimeitengeneza hiyo picha?
Akili za wapi hizi?
Matusi ya maandishi hayana madhara,yenye madhara ni yale ya kutamka kwa sauti.Ungejua kuandika usinge andika "hakili" ungeandika "akili"
Sasa kwanini unasema mimi naongopa? Hiyo picha nimeitengeneza mimi? Punguza ujuaji wa kifala.
Si mlisema amewaondoa wote na kwamba sasa hivi anashauliwa na chikwete!View attachment 1907533
Nimefurahia hii confidence ya Rais Mwinyi wa Zanzibar .
Hii vision ni kama ile ya Dubai, na italeta watalii wengi sana Zanzibar.
Hii vision ndio tunataka hata sisi huku Bara.
Sasa huku kwetu watu wale watu wa mwendazake wanamconfuse mama.
HuelewekiSi mlisema amewaondoa wote na kwamba sasa hivi anashauliwa na chikwete!
Au mmesahau?