Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Hapo nahisi jengo litakamilika 2100 labda waje tuwauzie mchanga.
 
Majengo mengi hayajengewi mchanga yanatumia vyuma zaidi steel structures sio matofali na mchanga
Wamesema chini wataweka mchanga sasa huo mchanga ndo tutawauzia maana wa kujengea tu huwa wanatoa huku bara.
 
Pongezi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kudhamiria kuijenga Zanzibar
Hakika Dr. Hussein ame dhamiria kuibadilisha znz, jambo la msingi tumpe ushirikiano.
 
Naona Zanzibar ya Dr.Hussein Ally Mwinyi ikipepea kwa kasi ya 5G...
 
Unaweza kukuta na wewe Pia una familia

eishhh

Allah aniepushe na watu shallow kama wewe
Wakati unataka kujibu kitu kuwa na facts, hebu soma hiyo link ndio utajua nasema nini

Wakati unataka kujibu kitu kuwa na facts, hebu soma hiyo link ndio utajua nasema nini

Uhaba Kiwango cha shein siyo uwezo Kiwango cha multi billion dollar investors

shein alilala pono

bakhressa kawaonyesha how it was done
 
Hayo ndio mambo ya maana sio kujadili Gwajiboy kakataa mic na kiti mara Silaa kaja na sanduku jeusi,mnajuaje labda kabeba chupi za mkewe!
 
Wazee wamesema mchanga ukitoka Tanganyika itakuwa gundu ,hivyo mchanga utatoka Egypt au Pemba na golofa la juu kabisa wanakabiziwa KMKM kuangalia vibaka wanaovuka bahari kwa kutumia bandari bubu wakitokea Tanganyika..
 
hiyo picha ya ilo jengo ni copy na paste ya jengo la Ha long huko nchi veitanam
 
hiyo picha ya ilo jengo ni copy na paste ya jengo la Ha long huko nchi veitanam

IMG_0715.png
 
Back
Top Bottom