Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Hizi ni nadharia tu.Hapo hapo tukumbuke kwamba Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Tanzania. Mipaka ya Jamhuri imeainishwa kwa kujumlisha ardhi yote ya Zanzibar na ya Tanganyika. Serikali ya Jamhuri ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutamka kuhusu sehemu yo yote ya ardhi ya Jamhuri. Mahusiano na nchi za nje ni suala la Muungano. Zanzibar hairuhusiwi kuingia mkataba kuhusiana na ardhi yake bila kuihusisha Jamhuri. Kwa mfano haiwezi kuanzisha ubalozi na nchi ambayo haina mahusiano na Jamhuri. Hilo ndilo tatizo lililojitokeza wakati Zanzibar ilipotaka kujiunga na umoja wa nchi za Kiislamu.
Paragraph yako ya kwanza nimeshaijibu. Hata nilipokuwa nikipiga lectures kipindi hicho sikuwa na kawaida ya kurudiarudia kwa ambao hawaskilizi vizuri na kuelewa.Wewe unaejua sana tuambie hizo hela zilizopatikana zimefanyia nini?
Sijui elimu yako lakini nina uhakika uelewa wako ni mdogo sana juu ya masuala ya sovereignity,eg.umeshindwa kabisa kujua kuwa kuuza ardhi ni sawa na kuuza nchi,uhuru au sawa na kuuza nyumba...na hakuna kurudishiwa ni forever.
Kwa maana nyingine Zanzibar imeuza uhuru wake kwa wageni,unaunga mkono upumbavu huu!?
HahahahahahaKwahiyo Zitto nae kalamba mpunga.
Hivi kumpa mtu ardhi kwa miaka 99 ni kumkodisha eee?Acha kupotosha Rais Mwinyi alieleza jambo hili in full canera kuwa visiwa vinakodishwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unabii wa Ndugai tayari umetimia nchi imeanza kuuzwaKwa USD mil moja tu najipatia kisiwa. Kweli mdebwedo wanauza nchi kwa bei ya kutupwa
Damu ya Mwinyi kwa kuuza nchi haijambo. Lol. Isije kua Samia pia ana hii damu.Mwinyi mzee aliuza arusha kwa waarabu mtanzania harusiwi kukanyaga kule
Mkuu mchakato ulikuwa wazi Mimi nafatilia na Niko Huku Bara, tangu muda na Kila siku huwa napitia website ya Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA) Kila kitu kimeelezewa vizuri na ziara zote kuhusu huu uwekezaji wanaweka mrejesho.Shukran mkuu, kuhusu maswali yako ni kama ifuatavyo
1) naomba muda ntakujibu kuhusu mpango wa matumizi ya kodi ya iliyopatikana kutoka kwenye visiwa vilivyokodishwa tayar.
2) wananchi wanazo taarifa, mimi ni mwananchi wa kawaida na ninazo taarifa kwamb visiwa vinakodishwa kwa kuanzia miaka 33 mpaka 99 maximum.
3) Mambo haya hayajakuwa siri. Yanatolewa taarifa kila uchao.
View attachment 2091185
Mkuu, epuka hawa watu wanajifanya wajuaji na wapingaji wa kila kitu. Vijana wa ki-leo Sisi tumekuwa wapuuzi sana ndio maana watu kama kina mkuchika itabidi waendelee kuteuliwa tu.
Kujenga madarasa........Juu ya hayo yote, hizo Fedha walizovuna kwenye biashara hiyo ya visiwa wamezitumia vipi?
Kweli mkuu, huu uwekezaji utakuwa na faida mpaka Huku kwetu bara maana watalii wengi watapita hapa Dar es Salaam Kwa njia ya Boti au Ndege kabla ya kufika Zanzibar. Pia Ukanda wa Pangani na Bagamoyo nao watafaidika na watalii kuongezeka.It's the same approach ambayo Maldives waliichukua some years ago. Leo Sisi hapa watu wanalishwa matango pori tu.
Tutafika lakini
Kwenye geti kuu la base ya Navy USA wameweka neno la kilatini "Acto non Verbo" ikimaanisha "Kazi kwanza si maneno".Hizi ni nadharia tu.
Vitendo vinaendelea Zanzibar huko. Actions speak louder than words.
Hakika mkuu.Kweli mkuu, huu uwekezaji utakuwa na faida mpaka Huku kwetu bara maana watalii wengi watapita hapa Dar es Salaam Kwa njia ya Boti au Ndege kabla ya kufika Zanzibar. Pia Ukanda wa Pangani na Bagamoyo nao watafaidika na watalii kuongezeka.
Sisi kazi yetu kupingapinga tu kila kituKwenye geti kuu la base ya Navy USA wameweka neno la kilatini "Acto non Verbo" ikimaanisha "Kazi kwanza si maneno".
Watanzania wakizubaa tutashangaa wakenya na warwanda wamewekeza Zanzibar Hata Uwekezaji ambao watu wa kawaida wangefanya.
Kuna uwekezaji wa vifaa vya kutengeneza vifaa vya uvuvi, Bioprocessing na utunzaji wa mazao ya uvuvi, Kuna tenda za ujenzi wa barabarani,masoko.
Mkuu mimi nimeuliza swali, badala kunijibu naona umeniandikia inshaWam
Wamepata ajira wangapi wanalipwa kiasi gani. Maana siyo watu walipwe kama watumwa. Je hao walioajiriwa wakiacha kazi baada ya miaka 2 wanaweza waka survive muda gani kwa saving zao. Jamhuri ni Mali ya umma (Res Publica) kuna haja ya kila maamzi hekima na busara vikatumika maana hawa wazungu walishaonyesha hawana nia na sisi. Miaka ya 1903 Cuba leased Guantanamo bay to the US ,and now marekani haitako kuirudisha. Tuwe tu makini kwa tunavyofanya na kuamua leo, maana tunaweza kufanya makosa akawagharimu watoto wakaja kutulaumu. Uzalendo kwanza
Kwani Mnemba Island inamilikiwa na nani?Haya ni maneno ya watu aina ya wanaopingapinga kila jambo
Zanzibar kuna barabara ya kwenda malawi?Mwenye uwezo wa kuwekeza katika visiwa hivyo bado anayo nafasi.
Tarehe ya mwisho ya maombi ya kupata lease ni 16/02/22 saa 6 mchana .
Tuma maombi yako kwa ZIPA. Ofisi zao zipo barabara ya Malawi.
nashauri Environment impact assement iwe kali TOR ziwe za kimataifa idara ya mazingira wawezeshwe usafir na vifaa vya kuvizungikia mara kwa mara kufanya tathminHuu uzi ni mzuri lakini nina hofu usije ukatumika kupotosha.
Umeuweka kwenye mtindo wa swali. Jibu ni kwamba, visiwa hivyo vinakodishwa na wala haviuzwi.
Sisi tumekwenda Mnemba mara kadhaa na hata wanajamii wenzetu wanakwenda.
Ni maamuzi mazuri yaliyofanya na SMZ na mimi kama Mzanzibar nayaunga mkono.
Huu uzi ni mzuri lakini nina hofu usije ukatumika kupotosha.
Umeuweka kwenye mtindo wa swali. Jibu ni kwamba, visiwa hivyo vinakodishwa na wala haviuzwi.
Sisi tumekwenda Mnemba mara kadhaa na hata wanajamii wenzetu wanakwenda.
Ni maamuzi mazuri yaliyofanya na SMZ na mimi kama Mzanzibar nayaunga mkono.
Mwenye uwezo wa kuwekeza katika visiwa hivyo bado anayo nafasi.
Tarehe ya mwisho ya maombi ya kupata lease ni 16/02/22 saa 6 mchana .
Tuma maombi yako kwa ZIPA. Ofisi zao zipo barabara ya Malawi.