Ngoja nimuite formal waziri wa ardhi😝😝😝Zanzibar ni NCHI
Right on the spot.Ni ujinga kulalama kuhusu kisichokuhusu.Wakati mwengine ni Bora kukaa kimya ili kulinda heshima tu!
Sasa hujui chochote kuhusu hili suala, hujui mchakato ulifanyika lini na hujui walioamua ni kina nani na hujui ni kwa manufaa gani lakini bado unaita huo ni ujinga uliopitiliza??
ID yako ina heshima kiasi chake, ni busara pia kuitunza heshima hiyo.
Hujui kusoma? Mwombe mtu akusaidie. Iko wazi katika intro yangu.Acha kupotosha Rais Mwinyi alieleza jambo hili in full canera kuwa visiwa vinakodishwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Vinakodishwa kwa muda gani? Hiyo ni ardhi ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania imeshirikishwaje katika ukodishaji huo na pato lake katika ukodishaji huo ni kiasi gani?Umeuweka kwenye mtindo wa swali. Jibu ni kwamba, visiwa hivyo vinakodishwa na wala haviuzwi.
Ukiwasikiliza Tanzania Bara na kupenda kujiona ni watoa maamuzi ya mambo ya Zanzibar mpaka utacheka. Etu "Serikali ya Jamhuri ya Muungano imeshirikishwaje".Vinakodishwa kwa muda gani? Hiyo ni ardhi ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania imeshirikishwaje katika ukodishaji huo na pato lake katika ukodishaji huo ni kiasi gani?
HahahhaahahahaMbwa ana tabia fulani huwa inanishangaza.Atafukuzwa mbuzi wasile majani na huku mbwa huyo huyo hali majani.
Ataishia kuyachunga tu mbuzi asile.Huku hafaidiki kwa kuyachunga.
Maskini hajui kwamba hajui.Usimlaumu muelimishe.Anajifanya guardian.Ukiwasikiliza Tanzania Bara na kupenda kujiona ni watoa maamuzi ya mambo ya Zanzibar mpaka utacheka. Etu "Serikali ya Jamhuri ya Muungano imeshirikishwaje".
Hili swali nimelijibu mara kadhaa, wewe utakuwa member wa mwisho kumjibu swali hili. Hivi visiwa na ardhi nyengine zitakuwa zinakodishwa kwa miaka 33 kwa kuanzia lakini inaweza ikaongezwa mpaka miaka 99 na si zaidi ya hapo, Naamini umenielewa hata kama uelewa wako ni mdogo.Vinakodishwa kwa muda gani? Hiyo ni ardhi ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania imeshirikishwaje katika ukodishaji huo na pato lake katika ukodishaji huo ni kiasi gani?
Mtanzania nikiyapinga kuna dhambi ? Maana Tanzania ikiwemo Zanzibar ni urithi wetu sote. Wakinogewa tutapigwa mnadaHuu uzi ni mzuri lakini nina hofu usije ukatumika kupotosha.
Umeuweka kwenye mtindo wa swali. Jibu ni kwamba, visiwa hivyo vinakodishwa na wala haviuzwi.
Sisi tumekwenda Mnemba mara kadhaa na hata wanajamii wenzetu wanakwenda.
Ni maamuzi mazuri yaliyofanya na SMZ na mimi kama Mzanzibar nayaunga mkono.
Uchumi wa buluu ndio huo yakye, sijui mtavua wapi pweza.Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu, napenda sana kuwaamini watu wa nje wanapozungumzia mambo nyeti ya Tanzania kuliko wakuu wa Tanzania. Wakuu wengi wa Tanzania aidha huona uongo ni 'halali' au hawaoni kuna umuhimu wa kuwaeleza Watanzania ukweli: kwa vile, anyway, sisi ni mazuzu tu! Hiyo ni ikiwa wataamua kutueleza. Mara nyingi hawaoni hata haja ya kufanya hivyo!
1- Jee, jambo hili lilijadiliwa na wananchi, kabla ya wakuu fulani tu kufanya uamuzi?
2- Pesa zinazopatikana katika mauzo hayo zimepangiwa nini? Hizo $261.5 zimetumiwa katika nini?
3- Mara nyingi mwekaji -hasa Mzungu- anaponunua kitu, hataki 'wenyeji' wafike hapo, labda kwa kazi za kukata majani na kufagia tu.... Siku hizi wamegundua njia bora zaidi ya kuwazuia 'wenyeji' : wanaweka bei za kutisha ambazo wanajua 'mwenyeji' hata akiwa nazo, hathubutu!
Mkuu wa ZIPA amewaambia Wazungu, bei ya kisiwa inaanza dola milioni moja hadi milioni 75, tegemeana na ukubwa wake. Visiwa hivyo ni Miwi, Popo (hekta 450,Sumi 3.5 ha, Kwata 6.7 ha, Njao 470 ha, Kashani 31.8ha, Jombe 76 ha, Mtambini 200 ha na Fumbo 37 ha
Bill gates, tajiri namba nne duniani mwenye fedha 136.1 b ameshanunua Kisiwa cha Mnemba, Kisiwa kikubwa zaidi ya hivyo. Anachaji dola 2,000 kwa siku na wasiokuwa wageni hawaruhusiwi kutia mguu huko! Pia sehemu inayomzunguka kwa mita 200 ni marufuku mtu kupita huko. Inaitwa 'exclusion zone'!
Kuuza ardhi au kukodisha kumeenea sana nchi za Ghuba kama UAE (Dubai). Pengine wakuu wetu wanataka kuiga huko. Lakini wenzetu huko huuza jangwa tena kwa masharti magumu. Pia kwa vile wananchi wao wana uwezo mkubwa utakuta nao wamenunua bega kwa bega na wageni. Hapa kwetu si hivyo. Twawauzia visiwa nusu ya Pepo! Tena hakuna namna yeyote mwenyeji ataweza ku enjoy huko. Sehemu hizi zinazouzwa ni za urithi wa mazingira na hawa wanakwenda kuchafua (wakuu watakwambia tumewaambia wasichafue!).
Swali ni hili: Hivi akili zenu zote hamkuweza kupata vyanzo vingine vya fedha isipokuwa kuuza urithi wetu? Lini watoto wetu watakuja kuviona visiwa hivi katika hali ile ile walioviacha babu zetu?
Na mnataka kufanya nini na pesa hizo? Nasikia wanataka kujenga hoteli moja iitwayo DOMINO itakayokuwa ya pili kwa urefu katika Afrika!
Hakuna dhambi, hata Warundi wanaweza wakapinga tu hamna neno mkuu.Mtanzania nikiyapinga kuna dhambi ? Maana Tanzania ikiwemo Zanzibar ni urithi wetu sote. Wakinogewa tutapigwa mnada
Basi uza na kisiwa kikuu kabisa msogee Oman Ila watanzania tutakikomboaHakuna dhambi, hata Warundi wanaweza wakapinga tu hamna neno mkuu.
ila nakusihi usiyapinga maana utakuwa unapoteza muda wako tu.
Mkuu,Basi uza na kisiwa kikuu kabisa msogee Oman Ila watanzania tutakikomboa
Nimeelewa, na hapa kweli Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania inatakiwa itafisiriwe vizuri zaidi hasa kipengele cha mipaka ya Jamhuri hii na matumizi ya ardhi.Hiyo ni ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?? Mkuu unatumia kilevi chochote?? Umeona wapi nchi ikawa na ardhi nchi nyengine?? Zanzibar ni nchi kamili na hiyo ni ardhi ya Zanzibar. Kwa vile ni ardhi yao hawana haja ya kumshirikisha yoyote yule, sio JMT wala Kenya wala Kuwait.
Ni kweli mkuuNimeelewa, na hapa kweli Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania inatakiwa itafisiriwe vizuri zaidi hasa kipengele cha mipaka ya Jamhuri hii na matumizi ya ardhi.
Hivi hapa anayetumia kilevi ni nani? Je unaijua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...Mkuu unatumia kilevi chochote??
Je linapotajwa neno eneo, je ni pamoja na ardhi?Umeona wapi nchi ikawa na ardhi nchi nyengine?? Zanzibar ni nchi kamili na hiyo ni ardhi ya Zanzibar.
Kweli wewe ndiye mlevi wa kutupwa, je unajua JMT ni mdudu gani?Kwa vile ni ardhi yao hawana haja ya kumshirikisha yoyote yule, sio JMT wala Kenya wala Kuwait.
Ili Jambo halikubali majumba yote ya Stone town yanauzwa kila kitu mnauza HILI HALIKUBALIKIAcha kupotosha Rais Mwinyi alieleza jambo hili in full canera kuwa visiwa vinakodishwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app