Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Nani alihodhi madaraka?..wakati wa mapinduzi waziri mkuu alikua mohammed shamte,mweusi tii na ndiye mkuu wa serikali
Naomba acha nijifunze kwa taratibu,nimeandika hivyo kwa sababu kuna swali niliuliza ambalo limeleta hii hoja so ngoja muhusika anayejua hii conv anijibu.

Yote uliyoandika hapo mimi sikuyazungumza wala sikutaka kuyajua na siyo lazima kujibu kila post humu kumbuka hakuna anayekulipa.
 
Kama hutaki kujibiwa toka humu
 
Musolini mweusi wa karne gani huyo?
Kama ni wa WW2, basi utakuwa umebonyeza sana.
 

  1. Decemba 10 iwe ni siku ya mapumziko ya uhuru wa Zanzibar,sio lazima iadhimishwe kwa shamra shamra,inaweza kubadili jina ikaitwa Sultan Day。
Eh! labda Uhuru day. Umesahau yale mabango ya UVCCM Zanzibar!
  1. Neno Matukufu kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,lisiendelee kutumika,yaitwe tuu Mapinduzi ya Zanzibar na vibwagizo Mapinduzi Daima, na Tutayalinda kwa gharama yoyote, tuachane nayo ili kuponya wapinga mapinduzi
ACT Wazalendo watakuwa na kicheko! Wee Paskali unataka kutibua nyongo! Wapo wenye mapinduzi yao.

Sijui kama ni kweli, lakini hi ziara italeta matatizo sana Zanzibar! Narudia tena, kuna tatizo linakuja.

Kuna watu waliokuwa na mashaka '' Huyu si mwenzetu- Boni yai'' . Bahari ikitibuka nani atakuwa msuluhishi?

 
Source ya habari hii ni ya kutia shaka,SMZ haina taarifa yoyote juu ya ujio huu,hivyo this could be fake news!ila mimi nilimuombea kwanza kwa Mama Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh? kisha kwa dada mtu na kaka mtu, Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!

P
 
Sasa mapinduzi yatakaaje waungwana, je atatmbulishwa kama Sultani Jamshid au kama Bw. Jamshid?

Wataalamu muongozo wenu muhimu hapa.
Hata alipokuwa akiishi uingereza alijitambulisha kama sultani bado . Sasa ni rasmi sultanate of zanzibar ..na wazanzibar wanavyowashwa kwa waarabu ni hatari
 
Au Mimi ndio sijaelewa, yaani Mkoloni anarudi Watu wanaona ni fahari kubwa. sana. w.t.f?
Mkoloni wa ZNZ na Tanganyika alikiwa Muingereza. Rudi MEMKWA au QT kasome tena history ndiyo uje hapa dogo
 
Kama Ali Hassan Mwinyi, alipewa tu urais
 
apewe pia hadhi ya Rais mstaafu ikiwemo gari nyumba na ulinzi, pia arudishiwe mali zake
Kwa hiyo neno Mapinduuuuzi, Daima litafutwa! Mapinduzi Matukufu mwisho, Baraza la Mapinduzi mwisho??
 
Sijawahi kusikia hilo la kudai awe Rais lakini kama alithubutu kutaka urais wa Idd Amin nadhani alipewa haki yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…