Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Kama sikosei na Dr. Salmin Amour rais wa tano wa Zanzibar ndiye aliyetoa msamaha kwa Sultan Jamsheed arudi nyumbani toka ukimbizini. OK, arudi tu maana hana madhara kwa utawala uliopo. CUF ya Maalim Seif ingeshinda 1995 sultan angeisharudi siku nyingi pamoja na waziri mkuu wake Mohamed Shamte
 
Hapo nyuma km miezi miwili au mitatu pia iliwahi kutoka taarifa kuwa kafa, kumbe sio kweli. Haraka watu wakafuta posts zao.
Angekuwa anakuja kweli hata jamaa wa makachu forodhani wangekuwa washatengeneza clip zamani sn ya kumkaribisha
 
Heh, huyo Mohamed Shamte keshakufa decades ago
 
Kwanza mufahamu kuwa Serikali Ya Tanganyika na Ile ya Zanzibar ilikuwa mfumo mmoja.
Chini ya Ufalme.

Serikali ya Tanganyika ilikuwa chini ya Malkia wa Uingereza
Serikali ya Zanzibar ilikuwa Chini ya Sultan Wa Zanzibar.

Mapinduzi hakupinduliwa Mfalme ila Serikali halali ilo kuwa ya wananchi.

Alotawala Zanzibar ni Mngereza British na aktowa uhuru tarehe 10 Dec 1963.
Serikali mpya ilikuwa mwezi mmoja tuu na ikaondoshwa madarakani.

Unyonyaji , Dhulma na mateso yalkuwa chini ya Brtish sio serikali ya mwezi mmoja.

Tanganyiak waliamua kujitowa kwenye mfumo wa usultani kwa diplomasia.
Na zanzibar ingeweza kukukana ufalme kwa njia hiyo hiyo lakini Nyerere hakutaka na kushawishi kutumika nguvu.
 
aliyepinduliwa na khafiri okello ni shamte, sultan alikimbia kwa taharuki tu
 
Kwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
john okelo, mkatoliki fulani hivi ndio aliwaokoa hawa wavaa misuli,bila huyo wao walikuwa hata kukimbia hawawezi, misuli ingedondoka. walivyo katili,hawajawahi kumwekea hata siku ya kumbukumbu.
 

Pande zote ni zipi😂
 
Tafuta nafasi na siku utufafanulie vizuri hii habari , mkuu 'Ziroseventytwo', kwani ni habari muhimu hii. Nami huwa nashindwa kuelewa vizuri matukio ya wakati huo hapo visiwani.
 
Hili ni tukio la kipekee; bila shaka linayo maana kubwa siyo kwa maswala ya huko visiwani pekee; bali kwa Tanzania nzima.

Ni ishara muhimu sana hii kwa mstakabari wa Tanzania.
 
john okelo, mkatoliki fulani hivi ndio aliwaokoa hawa wavaa misuli,bila huyo wao walikuwa hata kukimbia hawawezi, misuli ingedondoka. walivyo katili,hawajawahi kumwekea hata siku ya kumbukumbu.

Waislamu wengi wakiwemo waarabu, waafrika n.k wameuawa dhidi ya kafiri okello, na wengine inasemekana walitupwa baharini, sasa huyo okello wako aliwaokoa wakina nani!! Yani nyie msio na dini mnatabu sana
 
Kwanza kabisa mimi sio mzanzibari, mimi pia sio mbaguzi wala chuki, elewa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…