Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Ni John.

Tito na John kuna kitu wanafanana.

John Okello alimpindua Sultan, akaongoza kwa muda mfupi sana, ndiye aliyeunda Baraza la Mapinduzi na kumteua Karume, then akamkabidhi Madaraka Karume. Karume alipokabidhiwa akamfukuza Johhn Zanzibar na kumtaka baada ya muda fulani awe ameondoka visiwani. Tangu hapo, hakupokelewa Tanganyika, wala Kenya hadi aliporudi kwao. Kabla ya umri wa miaka 20 alikuwa ameshazunguka nchi karibu zote za British East Afrika, aliingia Zanzibar akiwa na miaka 22.

Tito Okello alimpindua Milton Obotte, akaongoza kwa miei 6 tu akamuita Museven aja aongoze nchi, Museven alipochukua Madaraka akawa anamlia timing ili kum terminate Tito Okello, alipozipata hizo taarifa, akatorokea Kenya, akakaa huko kwa muda mrefu sana hadi Museveni alipomtangazia Amnesty ndipo jamaa akarudi Uganda na kufariki miaka mitatu baadaye akiwa na umri wa miaka 81.
Tito Okello hakumuita Mseveni kuja kutawala. Mseveni na wapiganaji wake walikuwa wanasonga mbele kutoka msituni kutaka kumuondoa Obote madarakani. Tito akampindua Obote na kuanza mazungumzo na Mseveni huko Nairobi, wakati wakiendelea na mazungumzo Mseveni akawa anasomga mbele na kuikamata Kampala na Tito akakimbilia Kenya.
 
View attachment 3186808

Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.

Cc Pascal Mayalla

Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.

Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.

Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.

Majumba yake ya zamani tena? Na nimesoma kuwa anarudi kwenye pwani zake?

Kwa hiyo sultan bado anatambulika kama mtawala au? Na hayo majumba yake bado yanatambulika kama
Mali zake.. basi msiishie kwenye majumba tu mrudishien na milki yake

Huo upatanisho unaosema hiyo ziara itasaidia kurejeshwa ni upatanisho upi yaani mnataka kusema mapinduzi yalikosewa hakutendewa haki.. ikiwa hata huko alikokimbilia (oman) he was nobody kiasi kwamba alifukuzwa huko na akapigwa ban asirudi akakimbilia UK wakamsitiri akawa anaishi portsmouth na familia yake kama mtu wa kawaida hadi mwaka 2020 ambapo ombi lake la kurudi nchini mwake Oman lilikubaliwa kwa shart kuwa hatambuliki kama Sultan bali raia wa kawaida sasa huku mnakomleta kama sultani mnataka mfikishe ujumbe upi.. kwa wanzanzibar na watu wa Oman kuwa je nyie bado mnamtambua kuwa ni Sultan wa Zanzibar au?
 
Tunepatwa time hii🤔
 
Mkuu, Tito Okello akishirikiana na Bazilio Olara-Okello, walimpindua Obote wakati wote wakiwa Jeshini, Museveni akiwa porini.
Bazilio ndiye alikuwa kiongozi wa mapinduzi hayo na ni kama alikuwa rais ingawa kwa muda mfupi sana wa mwezi mmoja tu, akamkabidhi Tito Okelle, Tito aakaongoza Uganda kwa miezi 6 na kufanya makubaliano na Museven, akafanya power transfer kwenda kwa NRA Chama ambacho kilikuwa kikiongozwa na Musevenihalafu yeye akarudi Jeshini.
Museveni alipoingia tu akaanza kumlia timing Tito Okello hapo ndipo Tito akatorokea Kenya.
So makabidhian yao yamadaraka yalifanyika kwa makubaliano na amani ili baada ya power transfer mambo yakabadilika
 
Majumba yake ya zamani tena? Na nimesoma kuwa anarudi kwenye pwani zake?

Kwa hiyo sultan bado anatambulika kama mtawala au? Na hayo majumba yake bado yanatambulika kama
Mali zake.. basi msiishie kwenye majumba tu mrudishien na milki yake

Huo upatanisho unaosema hiyo ziara itasaidia kurejeshwa ni upatanisho upi yaani mnataka kusema mapinduzi yalikosewa hakutendewa haki.. ikiwa hata huko alikokimbilia (oman) he was nobody kiasi kwamba alifukuzwa huko na akapigwa ban asirudi akakimbilia UK wakamsitiri akawa anaishi portsmouth na familia yake kama mtu wa kawaida hadi mwaka 2020 ambapo ombi lake la kurudi nchini mwake Oman lilikubaliwa kwa shart kuwa hatambuliki kama Sultan bali raia wa kawaida sasa huku mnakomleta kama sultani mnataka mfikishe ujumbe upi.. kwa wanzanzibar na watu wa Oman kuwa je nyie bado mnamtambua kuwa ni Sultan wa Zanzibar au?
Hiyo yenu na nyie mnaiita nchi. This time Oman wanajitanua kwa style ya tofauti. Mkiji kustuka mmeshauzwa
 
Majumba yake ya zamani tena? Na nimesoma kuwa anarudi kwenye pwani zake?

Kwa hiyo sultan bado anatambulika kama mtawala au? Na hayo majumba yake bado yanatambulika kama
Mali zake.. basi msiishie kwenye majumba tu mrudishien na milki yake

Huo upatanisho unaosema hiyo ziara itasaidia kurejeshwa ni upatanisho upi yaani mnataka kusema mapinduzi yalikosewa hakutendewa haki.. ikiwa hata huko alikokimbilia (oman) he was nobody kiasi kwamba alifukuzwa huko na akapigwa ban asirudi akakimbilia UK wakamsitiri akawa anaishi portsmouth na familia yake kama mtu wa kawaida hadi mwaka 2020 ambapo ombi lake la kurudi nchini mwake Oman lilikubaliwa kwa shart kuwa hatambuliki kama Sultan bali raia wa kawaida sasa huku mnakomleta kama sultani mnataka mfikishe ujumbe upi.. kwa wanzanzibar na watu wa Oman kuwa je nyie bado mnamtambua kuwa ni Sultan wa Zanzibar au?
Uwezo wa watanzania wengi ni mdogo sana umeongea facts tupu
 
Mimi ni mkristo siwezi tetea maovu ya wazungu kwa sababu tu walileta ukristo wazungu pamoja na warabu walifanya biashara ya utumwa hata utumie lugha ipi huwezi badilisha huu ukweli

Njoo kwa waislamu wanatetea kile alichofanya mwarabu hata kama ni kibaya vipi sababu tu aliwaletea dini waislamu akili zenu zimefungwa

Utawala wa sultan umetesa wafrika sana yaani huyo sultan kwa nchi wanaojielewa anatakiwa akitua tu uwanjani aelekee ukonga familia yake imetesa watu sana

Zanzibar haikuwa trading port bali sehemu ya mateso kwa waafrika ashukuriwe sana john okelo kwa kazi nzuri aliyofanya
kwanini ukristo tunaufungamanisha na wazungu?
 
Kwanza mufahamu kuwa Serikali Ya Tanganyika na Ile ya Zanzibar ilikuwa mfumo mmoja.
Chini ya Ufalme.

Serikali ya Tanganyika ilikuwa chini ya Malkia wa Uingereza
Serikali ya Zanzibar ilikuwa Chini ya Sultan Wa Zanzibar.

Mapinduzi hakupinduliwa Mfalme ila Serikali halali ilo kuwa ya wananchi.

Alotawala Zanzibar ni Mngereza British na aktowa uhuru tarehe 10 Dec 1963.
Serikali mpya ilikuwa mwezi mmoja tuu na ikaondoshwa madarakani.

Unyonyaji , Dhulma na mateso yalkuwa chini ya Brtish sio serikali ya mwezi mmoja.

Tanganyiak waliamua kujitowa kwenye mfumo wa usultani kwa diplomasia.
Na zanzibar ingeweza kukukana ufalme kwa njia hiyo hiyo lakini Nyerere hakutaka na kushawishi kutumika nguvu.
Historia inaonyesha Nyerere hakuhusika Kwa namna yoyote ile kwenye mapinduzi
 
Wife havai ushungi na kapiga kimini!
na hakukimbilia oman alienda UK, this man is absolutely inocent. huyu jamaa angeweza kuomba msaada kutoka jeshi la uk kwani kulikuwa na batallion iliyokuwa kwenye merikebu na angeweza kunyonga watu wengi, lakini hakutaka kuchuma dhambi

pia angeweza kuomba msaada kutoka KAR tanganyika kwani jeshi lilikuwa bado chini ya comand ya wazungu
 
Majumba yake ya zamani tena? Na nimesoma kuwa anarudi kwenye pwani zake?

Kwa hiyo sultan bado anatambulika kama mtawala au? Na hayo majumba yake bado yanatambulika kama
Mali zake.. basi msiishie kwenye majumba tu mrudishien na milki yake

Huo upatanisho unaosema hiyo ziara itasaidia kurejeshwa ni upatanisho upi yaani mnataka kusema mapinduzi yalikosewa hakutendewa haki.. ikiwa hata huko alikokimbilia (oman) he was nobody kiasi kwamba alifukuzwa huko na akapigwa ban asirudi akakimbilia UK wakamsitiri akawa anaishi portsmouth na familia yake kama mtu wa kawaida hadi mwaka 2020 ambapo ombi lake la kurudi nchini mwake Oman lilikubaliwa kwa shart kuwa hatambuliki kama Sultan bali raia wa kawaida sasa huku mnakomleta kama sultani mnataka mfikishe ujumbe upi.. kwa wanzanzibar na watu wa Oman kuwa je nyie bado mnamtambua kuwa ni Sultan wa Zanzibar au?
Mtu amesha ondolewa madarakani, asiendekezwe, ama sivyo aliyemleta litamtokea puani.
Huyu Jamshe si sultani tena na hana madaraka yoyote kiutawala.
Kuendekeza kumrudisha ktaamsha hasira zilizolala za tarehe 12/1/1964 na maumivu ya utumwa, ubaguzi na maonevu yote.
 
aliyeondolewa madarakani ni waziri mkuu Shamte, na wala nafasi ya sultan hakuna ilipofutwa na hata wakati wa mkoloni hakuwa na mamlaka ya kidola alisafiri tu kama watu wengine wanavyosafiri, na haji kutawala anakuja kuwa ceremonial leader kama chifu wa wahehe au kabaka mutesa wa uganda
 
Niambie , kuna sultani Zanzibar?
 
Kwa hiyo neno Mapinduuuuzi, Daima litafutwa! Mapinduzi Matukufu mwisho, Baraza la Mapinduzi mwisho??
Mkuu wazanzibari huwa ni watu wepesi wa kusahau.
Huyo jamaa wanaye mualika kama ngamia, ataingiza kichwa , halafu baadaye watashitukia hela ya mwarabu inawatoa madarakani waafrika,
Believe you me.
 
View attachment 3186808

Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.

Cc Pascal Mayalla

Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.

Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.

Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.
Anakuja kuchukua Ukoloni lake 😆😆
 
Back
Top Bottom