Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Sasa mkuu mbona unahamasisha watu wawe mafisadi? kwahiyo unataka wafuje pesa ya uma?
 
Daah...nimecheka sana
 
Mleta mada anamaanisha miundombinu inayoletwa na serekali mfano barabara

Kama ile barabara pale darajani ya enzi na enzi

Mfano kutoka shangani Hadi airport hiyo barabara yaaje mkuu

Alafu zile paka kule Stone Town nyingi kushinda mchanga
 
Kinachoitesa Zanzibar ni CCM. CCM ni laana ndani ya nchi
 
CCM Zanzibar ni serekali ya ovyo kabisa kuwahi kutokea kwenye Dunia
 
Zanzibar ni nchi sio mji... Unguja na pemba ndio miji
 
Endelea mkuu, nikienda Zanzibar nataka nikatafute asili ya hayo majina
Kwarara,Kiembesamaki,Mwembenjugu,Kajificheni,Saaten, Mwembemakumbi,Kwamchina.... Yapo mengi mkuu hatuwezi kuyamaliza, usisahau ile ni nchi na hayo ni majina ya mitaa tu, bado vijiji,kata,tarafa,wilaya, na hata mikoa yote yanatafakarisha hivyohivyo.
 
Pamoja mkuu
 
Hilo nalo tatizo!? Hapa Daresalam mbona pia tunasafirinao tena kwenye Costa na hais katikati ya jiji!? Heri wao wanaosafiri nao kwenye Chai maharage.
Hakuna kitu kama hicho Kwa dar Abiria wapande kwenye mwendokas na bata, kuku
 
Mimi nilienda huko nikapanda daladala namcheck konda eti kapaka uwanja aah..sikumweka nikamuuliza ...eti ananiambia ni sunah hiyo ...eeh nikabaki nashanga hawa watu wanaishi maisha ya Karne gani sijui .
Hahahaa we jamaa muongo Sana aisee
 
Mmenifugua akili. Hivi kumbe Zanzibar kuna maeneo ya shamba? Siku zote nilijua Zanzibar ni town tupu!
 
ACHA UONGO NA UZUSHI, HUYO MUME LABDA WA DADAAKO. KAMA USHIRIKINA USHAWAHI KUSIKIA ALBINO KAULIWA HUKU?
 
Kinachoitesa Zanzibar ni CCM. CCM ni laana ndani ya nchi
Very True, ndio maana wanalindana sana wanafanya ubadhirifu halafu wanaachiana tu. Fikiria CAG katoa ripoti ya ufisadi, Mwakilishi wa CCM anasema CAG hana mamlaka kwa vile hajachaguliwa kisheria. Bullshit
 
yote tisa msosi zanzibar kiukweli mbaya sijapata ona afadhali kidogo pale sijui panaitwa lukumai.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Mmenifugua akili. Hivi kumbe Zanzibar kuna maeneo ya shamba? Siku zote nilijua Zanzibar ni town tupu!
Kimgawanyo, kuna eneo la mjini ambalo lipo katiko mkoa wa Mjini Magharibi na ni wilaya ya Mjini, maeneo ya shamba ni Mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…