Unafiki tuu,,Mbona kwa JPM hata barakoa walikataa kuvaaa. RIP JPM Jembe.
CrapMabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?
View attachment 1785261
Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi?
Heko Dr. Mwinyi na Mama Samia. Mdogo mdogo tutafika tu.
View attachment 1785265
Heko Mufti Mkuu kwa kuliweka wazi, tunao wajibu wa kuzilinda afya zetu.
waambie wanachokitafuta watakipata.
Crap
Tanzania hakuna Corona.Wanajua wanahitaji chanjo ni kweli wanaipata. Wewe hutaki chanjo unawashwa washwa nini?
Tanzania hakuna Corona.
Haina haja ya kuhangaika na hayo machanjo ya majaribio.
Tangu ilipopiga Ikulu.Hahaahaaa haa! Tanzania hakuna Corona kuanzia lini?
Hahaahaaa haa! Tanzania hakuna Corona kuanzia lini?
Tangu ilipopiga Ikulu.
Tangu ilipopiga Ikulu.
Ni kweli tuko huru ukitaka chanjo nenda kapate chanjo hutaki basi acha....sio lazima