Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?

IMG_20210515_061358_721.jpg

Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi?

Heko Dr. Mwinyi na Mama Samia. Mdogo mdogo tutafika tu.

IMG_20210514_201325_342.jpg

Heko Mufti Mkuu kwa kuliweka wazi, tunao wajibu wa kuzilinda afya zetu.
 
Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?

View attachment 1785261

Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi?

Heko Dr. Mwinyi na Mama Samia. Mdogo mdogo tutafika tu.

View attachment 1785265

Heko Mufti Mkuu kwa kuliweka wazi, tunao wajibu wa kuzilinda afya zetu.
Crap
 
Nafuu wamesema wazi kuliko kuleta propaganda kuwa tuna corrona tuvae mask mara chanjo ipi inafaa,wachanjwe tu wahusika wakahiji si kutuletea nchi nzima nchi iko salama.Kama ingekuwepo corrona kama tunavyotaka kuaminishwa wakati wa kumuaga mwendazake watu walivokuwa wanajaa basi tungelia na kusaga meno kwa kupoteza watu wengi.
 
Back
Top Bottom