Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?
Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi?
Heko Dr. Mwinyi na Mama Samia. Mdogo mdogo tutafika tu.
Heko Mufti Mkuu kwa kuliweka wazi, tunao wajibu wa kuzilinda afya zetu.