Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo

Kweli Umati ni mkubwa ila kwa kulazimisha na kusimamisha baadhi ya mambo mengine.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Azuiwe haraka! Anakwenda "kuchomoa betri" kuhusu Muungano. Leo ndio Magu atamjua Lisu ni nani!

Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!
Huyu jamaa anaweza kubadili sura ya nchi....!!?
but all in all tunasubiri reaction ya CCM nadhani wamejipanga vyema kwa kuzingatia demokrasia ni muhimu wakanadi sera zao vyema...
 
Tatizo lenu mnakurupushwa hata siasa hamzijui zanzibar CDM haijamsimamisha mgombea urais kumpisha Maalim Seif hata leo kwenye mkutano anaweza kuwapo upo nyonyo stay tune mambo mazuri yanakuja mtaelewa tu
Labda nikupe taarifa tu, hakuna chama cha upinzani chochote Zanzibar kinachoweza kukusanya umati zaidi ya chama alichokuwepo Maalim Seif na CCM tu. Na kama hujui, tangu zamani CDM Zanzibar haikuwa na wafuasi kama ilivyo bara, CDM inaoenekana ni kama vyama visivyokuwa na ishu Zanzibar. Wazanzibari wao ni Maalim Seif na sio Lissu wala yoyote kutoka chadema. Waulize ACT.
 
Umesikika mkuu
 
Bia yetu,

Mbona Jpm ameungana na Babu Seya na Papii ambao walipatikana na hatia ya kulawiti watoto?

..kuchangamana na walawiti watoto ni kumcha mungu?
 
Aisee upo dunia ya wapi wewe? Kubenea ni mgombea ubunge kupitia ACT wazalendo na ndie alimuwekea pingamizi mgombea wa Chadema wa Jimbo hilo Boniphace Jacob baada ya kupewa ushauri wa kusheria kutoka kwa rafiki yake Lisu na akamtupa nje

..Said Kubenea ni mgombea wa ACT jimbo la Kinondoni.

..aliyemuwekea Boniface Jacob mapingamizi ni jamaa mwingine aliyehama toka CDM kwenda ACT.
 
Anachokifanya mafufuli ni kuzima moto aliouwasha lisu, napo baada ya kuuzima anauongezea petrol, na kadiri siku zinavoenda ndyo anazidi kupanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…