Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Wanatambulikana vizuri tu, Ila tatizo ni kuwa hao wakristo wanaolalamika sio Wazanzibari ni watanganyika. huwezi kwenda kwenye nchi za watu halafu ukalazimisha mila zako zienee kwa uanavyotaka wewe.

Wewe shida yako ni ukristo au utanganyika??
 
mkuu kwani husikiagi azana na kutishana huku uswazi muazini anakuja hadi dirishani?? Anakushitua na kukupiga mkwala! Swalaaa, swala swalaaaa... amka ww ukaswali, swala ni bora kuliko usingizi! Hicho chumba Uliomo ni kaburi, hicho Kitanda ni Jeneza, hiyo shuka ni sanda....anamalizia kwa ukali muache huyo.....
Yes, hii ya kiasi iwe kwa pande zote mbili sote tuepuke bugudha kwa wenzetu,lakini pia tujifunze kuvumiliana kadri ya mapungufu yetu
 
Uhuru wa kidini ni muhimu kuwepo ila pia tuepuke kubugudhi watu na makelele, mimi nipo upande huu, ila suala la kupiga mziki ya kidini kwa sauti ya juu asubuhi mpaka asubuhi siliafiki kabisa, tuwe na kiasi katika ibada zetu
Unazungumziaje adhana na ibada za ijumaa,
Naishi karibu na msikitini yani ni tafrani...

Kelele.
 

When in Rome, do as the Romans do​


Sasa kwanini nyinyi munapokua kule munalazimisha wao wabadilishe taratibu zao na mifumo yao wakati nyinyi ndio munaotakiwa kuji adjust katika mazingira yao?

Je umewahi kusikia wazanzibari wanaoishi Tanganyika kulalamika kuhusu makanisa kuwa mengi ? Au baa zipo nyingi?
Munatakiwa muheshimu mazingira na tamaduni za watu munapokua katika miji yao. Ukiona huwezi rudi nyumbani waacheni wanaweza wakomae.
 

When in Rome, do as the Romans do​


Sasa kwanini nyinyi munapokua kule munalazimisha wao wabadilishe taratibu zao na mifumo yao wakati nyinyi ndio munaotakiwa kuji adjust katika mazingira yao?

Je umewahi kusikia wazanzibari wanaoishi Tanganyika kulalamika kuhusu makanisa kuwa mengi ? Au baa zipo nyingi?
Munatakiwa muheshimu mazingira na tamaduni za watu munapokua katika miji yao. Ukiona huwezi rudi nyumbani waacheni wanaweza wakomae.
Kwani suala la Imani ni la uzanzibari na utanganyika??

Tanganyika hakuna huo ushamba wa ubaguzi wa kidini huku waislamu na wakristu wote hukaa pamoja na kwa utulivu, nimekaa tabora kwenye waislamu wengi sana kwa muda tu lakini sijawahi ona waislamu wa pale wawalalamikie wakristu na ibada zao

Yaani wazanzibari mna ushamba mwingi Sana ni kama vile uislamu ulianzia huko na mkaueneza nyie mahali pengine

Kweli shule muhimu
 
Sio kweli hizo DK 5 hamzifati nahisi mnapambana na makanisa ya kilokole kwa sababu hamna tofauti nayo sisi mambo yenu ya mtume nani sijui yanatuhusu nini myazungumzie kwenye mapaza sauti????????hakika ni kero kuu
Uliwai sikia waisilamu msikitini wanalia na kuomboleza na kusakata rumba tena kwa sauti ya kukela mpaka majirani kushindwa kulala?hili huwe mrokole razima utokwe akili kwanaza
 
Unazungumziaje adhana na ibada za ijumaa,
Naishi karibu na msikitini yani ni tafrani...

Kelele.
Hapa kwetv uswazi miskiti iko jirani sana!
Mda wa azana ma kubwa wa maspika ni kele nyingi sana!
Cha ajabu safu haziongezeki
 
Wakatoliki hufanya ibada zao kostaarabu Sana na Kuna kesi ya padri Evarist Mushi kumwagiwa tindikali Zanzibar

Evarist Mushi aliuwawa kwa risasi padri Mang’amba ndo alimwagiwa tindikali maeneo ya Michenzani.
 
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾

120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Unataka wawe radhi mnapo wapiga kisha muwatoze kodi??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
 
Back
Top Bottom