jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wanatambulikana vizuri tu, Ila tatizo ni kuwa hao wakristo wanaolalamika sio Wazanzibari ni watanganyika. huwezi kwenda kwenye nchi za watu halafu ukalazimisha mila zako zienee kwa uanavyotaka wewe.
Watanganyika hawaruhusiwi kufanya mila zao wakiwa Zanzibar? Hata kama hazileti madhara?
Wewe shida yako ni ukristo au utanganyika??
Hauna akili.
Amekoswa koswa kifo sanaMwambie Adam Hajj Mohamed akueleze alifanyeje kueneza Ukristo Somalia [emoji1220]
Yes, hii ya kiasi iwe kwa pande zote mbili sote tuepuke bugudha kwa wenzetu,lakini pia tujifunze kuvumiliana kadri ya mapungufu yetumkuu kwani husikiagi azana na kutishana huku uswazi muazini anakuja hadi dirishani?? Anakushitua na kukupiga mkwala! Swalaaa, swala swalaaaa... amka ww ukaswali, swala ni bora kuliko usingizi! Hicho chumba Uliomo ni kaburi, hicho Kitanda ni Jeneza, hiyo shuka ni sanda....anamalizia kwa ukali muache huyo.....
Unazungumziaje adhana na ibada za ijumaa,Uhuru wa kidini ni muhimu kuwepo ila pia tuepuke kubugudhi watu na makelele, mimi nipo upande huu, ila suala la kupiga mziki ya kidini kwa sauti ya juu asubuhi mpaka asubuhi siliafiki kabisa, tuwe na kiasi katika ibada zetu
Watanganyika wamewakosea nini nyie wazanzibari?
Kivipi
Kwani suala la Imani ni la uzanzibari na utanganyika??When in Rome, do as the Romans do
Sasa kwanini nyinyi munapokua kule munalazimisha wao wabadilishe taratibu zao na mifumo yao wakati nyinyi ndio munaotakiwa kuji adjust katika mazingira yao?
Je umewahi kusikia wazanzibari wanaoishi Tanganyika kulalamika kuhusu makanisa kuwa mengi ? Au baa zipo nyingi?
Munatakiwa muheshimu mazingira na tamaduni za watu munapokua katika miji yao. Ukiona huwezi rudi nyumbani waacheni wanaweza wakomae.
Uliwai sikia waisilamu msikitini wanalia na kuomboleza na kusakata rumba tena kwa sauti ya kukela mpaka majirani kushindwa kulala?hili huwe mrokole razima utokwe akili kwanazaSio kweli hizo DK 5 hamzifati nahisi mnapambana na makanisa ya kilokole kwa sababu hamna tofauti nayo sisi mambo yenu ya mtume nani sijui yanatuhusu nini myazungumzie kwenye mapaza sauti????????hakika ni kero kuu
Hapa kwetv uswazi miskiti iko jirani sana!Unazungumziaje adhana na ibada za ijumaa,
Naishi karibu na msikitini yani ni tafrani...
Kelele.
Wakatoliki hufanya ibada zao kostaarabu Sana na Kuna kesi ya padri Evarist Mushi kumwagiwa tindikali Zanzibar
🤣🤣🤣Hivi ile boat ya Azam unaeza panda na nguruwe
May his soul r.i.p.Evarist Mushi aliuwawa kwa risasi
Hatima yake ilikuwajje- alipona?padri Mang’amba ndo alimwagiwa tindikali maeneo ya Michenzani.
Unataka wawe radhi mnapo wapiga kisha muwatoze kodi??وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾
120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.