Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾

120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Dini isiyoheshimu uwepo wa dini zingine lazima ilete machafuko na hata vita.
Ukienda sehemu ambayo wanamuabudu Allah lazima ukute machafuko kwasabb haeshimu uwepo wa dini zingine, Nigeria, Mali, Somalia, Sudan, Pakistan, Iran. Yaani vurugu tu.
Dini ni imani kama imani zingine na haina tofauti budha n.k ingekuwa hivyo
Muhamad angejua kusoma na kuandika, nchi za Uarabuni zingekuwa superpower na watu wake wangekuwa na upendo sana lkn ndiyo kwanza wanaongoza kwa machafuko
Ndiyo maana China haitaki kbsa hata kuwaona maana hawachelewi kuleta vita.
 
Umenena kila kitu, shida ya waislamu ni hiyo tu kukosa Heshima juu ya wengine
 
Tanga wako timamu
Zanzibar Wana usonji

Tanga hakuna mambo ya kumwagiana tindikali ndugu
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.

Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.

Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?

Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
 
Jamani Walokole ni too much miaka ya 2018/2019 kuna nyumba nilihama kwasababu ya Walokole, yes kwasababu ya walokole kanisa lao lilikua karibu sana na ninapoishi basi ni full makelele kuanzia ijumaa jioni hadi jumapili
Nadhani hata kama walokole wana shida mahalo suluhu sio kubomoa nyumba zao za ibada na makazi na kuzichoma pia kuwapiga na mapanga

Ziko njia sahihi na rafiki
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Kama nitachana msahafu Mimi ndiyo nitakuwa mgomvi na napaswa kuadhibiwa vikali maana nimedharau imani ya watu

Nimekaa kondoa asilimi 80 no waislamu kweli nimekutana na baadhi ya changamoto ila sikutishiwa uhai na mamlaka za kiuobgozi ziko thabiti tofauti na Zanzibar
 
Zanzibar iendelee tu kuwa sehemu ya tanzania, vinginevyo kutakuwa na upuuzi wa kidini kwa kuita nchi ya kiislam. Na hawatakuwa pamoja watavurugana na kujikuta jamhuri mbili za kiislam unguja na pemba, itakuwa aibu sana kama kule somalia dini moja lakini kuna ushenzi mwingi wa kujigawa
 
Uhuru wa kidini ni muhimu kuwepo ila pia tuepuke kubugudhi watu na makelele, mimi nipo upande huu, ila suala la kupiga mziki ya kidini kwa sauti ya juu asubuhi mpaka asubuhi siliafiki kabisa, tuwe na kiasi katika ibada zetu
Na kuamshana kwa lazma kila saa 11 moja asubuhi na maadha yenu huo nao sio usumbufu. Tena hii misikiti ipo katika kila baada ya nyumba kumi
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Lazima uheshimu uwepo dini zingine. Kitendo cha kuchana utakuwa umewakosea na hairusiwi. Hapa tunaongelea kila mtu asali bila kumbughuzi mwingine.
Tunaishi na watu wenye imani tofauti na wengine hawana imani kbsa. Kwa vile mimi ni dini fulani namuona fulani anakula nguruwe, tunakusanyika tunaenda kumpiga hiyo hairusiwi. Wewe kula nguruwe yako na mwingine abaki na dini yake. Umefunga kula, funga kivyako ukimuona jirani anakula muache usiende kumbughuzi.
 
Zanzibar iendelee tu kuwa sehemu ya tanzania, vinginevyo kutakuwa na upuuzi wa kidini kwa kuita nchi ya kiislam. Na hawatakuwa pamoja watavurugana na kujikuta jamhuri mbili za kiislam unguja na pemba, itakuwa aibu sana kama kule somalia dini moja lakini kuna ushenzi mwingi wa kujigawa
Kwanini wafanye hivyo wakati wapo kwenye dini ya haki?
 
Zanzibar iendelee tu kuwa sehemu ya tanzania, vinginevyo kutakuwa na upuuzi wa kidini kwa kuita nchi ya kiislam. Na hawatakuwa pamoja watavurugana na kujikuta jamhuri mbili za kiislam unguja na pemba, itakuwa aibu sana kama kule somalia dini moja lakini kuna ushenzi mwingi wa kujigawa
Awali niliwahi kuwaza hivi ila baadaye nikasema mchuma janga hula na wa kwao
 
Lazima uheshimu uwepo dini zingine. Kitendo cha kuchana utakuwa umewakosea na hairusiwi. Hapa tunaongelea kila mtu asali bila kumbughuzi mwingine.
Tunaishi na watu wenye imani tofauti na wengine hawana imani kbsa. Kwa vile mimi ni dini fulani namuona fulani anakula nguruwe, tunakusanyika tunaenda kumpiga hiyo hairusiwi. Wewe kula nguruwe yako na mwingine abaki na dini yake. Umefunga kula, funga kivyako ukimuona jirani anakula muache usiende kumbughuzi.
Sasa kukesha unasali kwa makelele huoni unawabughudhi wengine? Tumia kipaza sauti wakati wa unaita watu au unasali, lkn usiku wote, mchana wote wewe Ni nyimbo, na makelele?

Lazima mjitafakari pia.
 
Halafu wanajiita dini ya haki na amani wakati nchi za Kiislam ndio zinaongoza kwa machafuko na wakikinukisha wanatafuta ukimbizi nchi za magharibi na sio za kiislam hapo ndio utachoka 🙂🙂🙂🙂 wakimbizi wa Libya, Syria, Palestina, Afghanistani na kwingineko hutawakuta Saudia, Qatari, UAE, Misri
Hizo nchi ulizozitaja, Nani amesababisha machafuko
 
Dini zinawapumbaza sana waafrika, imekua kama kilevi kikali.
Religion is the opium of the people- Karl Max
Ukiwa mjinga utapumbazwa maana ukristu unaonya "kutumia akili kumpenda Mungu na kufuata Imani"

LUKA 10:27
Akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote
 
Hizo nchi ulizozitaja, Nani amesababisha machafuko
Rudi kwenye mada mbona hamkimbilii nchi za kiislam au za kiarabu?
Kwaio makundi ya kigaidi ya kiislam yameanzishwa na westerners ili kupigana na waislamu wenzao?
 
Sasa kukesha unasali kwa makelele huoni unawabughudhi wengine? Tumia kipaza sauti wakati wa unaita watu au unasali, lkn usiku wote, mchana wote wewe Ni nyimbo, na makelele?

Lazima mjitafakari pia.
Kutumia kipaza sauti nazo ni kelele zile zile. Kwani waumini hawajui muda wa kusali mpka uwe na kipaza sauti?
Hata kama wanapiga kelele ndyo ubebe mapanga, ukabomoe nyumba na kuchoma moto? Mbona hii machafuko tayari.
Ningetegemea ungemuita mhusika ukamwambia kama amekaidi kuna balozi, mwenyekiti, polisi na mahakama ingefanya kazi.
 
Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa kilichotokea, kundi la Waislamu wenye itikadi kali lilimshukia wakiwa na mapanga.

"Nilienda kufungua na kupanga viti kwa ajili ya maandalizi ya maombi yetu ya asubuhi nilipopata kuta zimebomolewa na paa ikiwa juu ya vifusi," Mchungaji James aliambia ICC. "Ghafla, kundi la Waislamu (wenye siasa kali) walitokea kutoka kwenye majengo ya karibu na kanisa letu na kuanza kunipiga ... walisema kwamba kanisa halihitajiki katika eneo hilo."

Kilichofuata ni mfululizo wa mashambulizi ya kikatili yaliyopelekea Mchungaji James kupoteza sio tu kanisa lake bali hata nyumba yake na mali zake zote.

“Walinikata mara kadhaa kichwani na mikononi na kuondoka kuelekea nyumbani kwangu. Waliamuru mke wangu na watoto watoke nje ya nyumba na kuichoma moto. Tulipoteza kila kitu ndani ya nyumba, kuanzia mali ya kibinafsi, nguo, na vitabu vya shule vya watoto wangu hadi Biblia na vitabu vya nyimbo. Waumini wa kwanza walifika dakika kumi na tano baadaye na kunikuta nimelala kando ya kanisa letu lililobomolewa. Walinikimbiza hospitalini.”

Kubomolewa kwa kanisa la Mchungaji James sio kisa pekee cha mateso katika Kisiwa chenye uhuru cha Zanzibar, ambako Waislamu wengi wanaendelea kukandamiza Ukristo. Mnamo mwaka wa 2019, Kanisa la Kipentekoste lilifungwa kwa mwaka mmoja baada ya Sheikh kutoka msikiti wa karibu kulalamika kwamba ibada ilikuwa kubwa sana.

Katika kesi nyingine, kanisa moja liliamriwa na mahakama kusitisha ujenzi baada ya malalamiko ya ardhi yaliyowasilishwa na mfanyabiashara tajiri Mwislamu.

Kwa upande wa Mchungaji James, anaendelea kusubiri haki itendeke, ingawa anajua kuwa fidia kutoka kwa serikali haiwezekani.

“Tuliripoti suala hilo kwa mamlaka na kutoa taarifa. Hadi sasa, hakuna kilichofanyika. Ombi letu ni kwamba tusiamke hata siku moja na kukuta kiwanja chetu cha kanisa kimezungushiwa uzio na mkandarasi anayeweka msikiti.”

Huku hayo yakijiri, kanisa lake limelazimika kukataa kukutana kila Jumapili kwa hofu ya kushambuliwa.

Askofu Dan* amekuwa sauti muhimu kwa uhuru wa ibada ya Kikristo kisiwani humo. Ingawa ameona baadhi ya mafanikio kwa mwaka mzima, aliiambia ICC kuwa kuna kazi nyingi zaidi ambayo inahitaji kufanywa.

"Kikwazo kikubwa zaidi katika kufikia usawa wa kimahakama ya kidini ni msongamano wa maafisa wa mahakama wa Kiislamu ambao hawachukui hatua zozote dhidi ya ghasia za kidini zinazofanywa dhidi ya Kanisa," alisema. "Kesi za wahalifu Waislamu kuchoma makanisa zimepungua, lakini tuna kesi za hivi sasa ambapo makanisa yanahusika katika mabishano mahakamani kuhusu ardhi na kesi za ubakaji zinazoendeshwa na vijana wa Kiislamu."

Akitafakari kuhusu hali ya mateso Zanzibar hivi sasa, mchungaji Adam* wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God atoa maoni kwamba:

“Zanzibar bado iko kwenye kina kirefu cha ubaguzi wa kidini na kutengwa unaowahusu Wakristo, kwa kuwa ni kundi la watu wachache. Kanisa la Zanzibar limejaribu kuiomba serikali kuingilia kati na kuweka usawa ambapo imani na maeneo ya ibada tofauti yanaheshimiwa na kulindwa na sheria. Hii bado ni ndoto na dua yetu ya kila siku, na hatutakata tamaa kuziomba mamlaka za Zanzibar kuwalinda waumini dhidi ya mashambulizi yanayoratibiwa na waasi wa Kiarabu.”

Kwa mahojiano, tafadhali wasiliana na press@persecution.org.

C&P
inasikitisha sana manake mtume muhammad,wakati wa harakati zake za kuuneza uislam kwa jihad alilazimika kukimbilia ethiopia{chini ya kanisa la orthodx } na wakamsitiri lakini wafuasi wake sasa!!...ujue mimi huwa siwashangaai MAYAHUDI wanavowashuhulikia palestine kikatili,why?..kwa sababu ukiwapa nafasi hawa jamaa,,,wakajiorganise wanakuwa makatili maradufu....kajenge kanisa SOMALIA uone!!!
 
Back
Top Bottom