Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.