IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Hapana huyo mzee asikuchanganye kichwa wenzie walianza kuigiza wakiwa vijana lkn yeye anapambana sasa...Ni muongo kinoma!Part of the script!?..which script!?..it's a reality
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana huyo mzee asikuchanganye kichwa wenzie walianza kuigiza wakiwa vijana lkn yeye anapambana sasa...Ni muongo kinoma!Part of the script!?..which script!?..it's a reality
ahahaaaaa!!!!! alaf wana kauli yao kwamba muumini wa kweli lazima awe na nguvu!!!...basi wanacheza kung-fuu kama BOLO YANG!!!!...ndo manake wanawekeza kwa nguvu za mwili[ata MUNGU wao wanampigania kupitia upanga, smg,mabomu na kung-fu}..........ujue ndo manake hawapendi makanisa maeneo wanayoishi kwani wakriso wamewekeza sana KIROHO na wao wamewekeza sana KIMWILI sasa maombi yanapozidi waskaji zao{ majini ] wanateseka sana........kasome SURATUL JINN uone[wanaingia mpaka misikitini..shabaash!!!Hahahaha umenikumbusha mbali,
Niliwahi kukaa Kondoa kukawa na mijadala baina yao waislamu wakawa wanaambiana "Kama ukristu ni dini kweli mbona hawaruhusiwi kuchinja!!? Aisee nilicheja sana halafu nikajikataa zangu
Kaanza kuingiza lini!?..yaani hutaki kuwa kasilimu!?Hapana huyo mzee asikuchanganye kichwa wenzie walianza kuigiza wakiwa vijana lkn yeye anapambana sasa...Ni muongo kinoma!
Ukiona unanyimwa haki ya kuabudu huko Zenji rudi kwenu Bara, Sisi WATANGANYIKA ni wakorofi na always tunalazimisha sana tamaduni zenu zikubalike kule.Kwahiyo hao wakristo wanao vunjiww makanisa na kunyimwa uhuru wa kuabudu huko zenji walichana hizo kurwani??
Porojo tu hizo,hapo alikua na roho mtakatifu akaanza kuongea uwongoNdo wawafuate na mapanga na viberiti??
Hahahaha ila we jamaaahahaaaaa!!!!! alaf wana kauli yao kwamba muumini wa kweli lazima awe na nguvu!!!...basi wanacheza kung-fuu kama BOLO YANG!!!!...ndo manake wanawekeza kwa nguvu za mwili[ata MUNGU wao wanampigania kupitia upanga, smg,mabomu na kung-fu}..........ujue ndo manake hawapendi makanisa maeneo wanayoishi kwani wakriso wamewekeza sana KIROHO na wao wamewekeza sana KIMWILI sasa maombi yanapozidi waskaji zao{ majini ] wanateseka sana........kasome SURATUL JINN uone[wanaingia mpaka misikitini..shabaash!!!
Ndio sitaki kukubali kuwa alislim kweli ile ilikua ni script alipangiwa na director au alipanga mwenyewe sababu jamaa ni mbishi kweli hata movie zake yupo radhi acheze mwenyewe mwanzo mwisho...Kaanza kuingiza lini!?..yaani hutaki kuwa kasilimu!?
Aisee angalau waislamu watanganyika akina JK hawana ujinga wa waislamu wa wazanzibariUkiona unanyimwa haki ya kuabudu huko Zenji rudi kwenu Bara, Sisi WATANGANYIKA ni wakorofi na always tunalazimisha sana tamaduni zenu zikubalike kule.
Wale jamaa ni waislam kwa 99.9% unataka waendeshe nchi yao kwa taratibu za VATICAN?
Mtaumia, niseme wazi hakuna watu wenye ushirikiano kwenye masuala hayo ya Dini kama hao waislam. Ikitokea Dini tofauti na wao wakawafanyia vurugu wenzao, hata kama ni Suni na Shia hao jamaa wataungana na utaumia.
Mnapoamua kutetea kitu chochote msiishie kwenye Sheria za ndani ya nchi tu, angalieni pia imani za watu.
Hizi dharau kwa Wazanzibar niwaambieni ziwe kwenye masuala ya ajira, umiliki wa Ardhi nk, mkijaribu kuweka kwenye mlengo huu wa Kidini basi ugomvi huo mtapigana na waislam wa Tanzania nzima na sio Zanzibar kwa kigezo cha kuwaonea waislam wenzao.
Jengeni hoja za Zanzibar kwa muktadha wa Ajira, Elimu, Umeme nk msijenge kwa mlengo wa Dini, hamtoungwa mkono na waislam wa Bara.
USHAURI WANGU NI HUO.
Tatizo la Zanzibar ni shule yaan no ilimu.Watu wa hivyo ni rahisi kuwatumia kama mbwa kamata Ile,ua yule .Wewe kwenu hamtaki wageni wanunue ardhi mnataka kweny meno ya kama yenu watu mbona wanapiga kelele daily?
Zanzibar ni wabinafsi na Wana tamaduni zao sio dini ni kwamba hawawependi wabara ...punguzeni shobo.
Hivi na waropokaji kumbe wapo humu? Hivi unaifahamu vizuri Vatican? Acha kufananisha Vatican na vitu vya ajabu ajabuNimeoana malalamiko kama haya ya waislam waishio VATICAN.
Kuna movie kaigiza kasilimu!?..hakuna muigizaji Hollywood atayembishia director,hupati kazi!!!..Ndio sitaki kukubali kuwa alislim kweli ile ilikua ni script alipangiwa na director au alipanga mwenyewe sababu jamaa ni mbishi kweli hata movie zake yupo radhi acheze mwenyewe mwanzo mwisho...
Zanzibar hakuna skuli!?..au wanasoma wasio wazanzibar!?Tatizo la Zanzibar ni shule yaan no ilimu.Watu wa hivyo ni rahisi kuwatumia kama mbwa kamata Ile,ua yule .
Hiyo Mikoa yote uliyoitaja wala haina utaahira wa kiwango cha kubomoa Makanisa kisa utofauti wa imani, tena Dsm sijui hata imeingiaje kwenye hiyo orodha yako.Kwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
Acha uongo bidadaSiku nyingine akimuona huyo dada ameingia na mivyakula ndani asubui yake lazima aongee.
Yani hyo ni mipasho tena
Kwahiyo mtu ana nguvu sana kuliko serikali?Wahusika hawaelewi sasa, mnawaambia msitumie uhuru wenu vibaya hawaelewi mnataka wafanywe nini?? KIBERITI
Bunch of savages. Hii shida ipo kwa wale vilaza yani hawana elimu dunia pia hawana exposure wamekaririshwq upuuzi wa mudi.
Ww jidanganye hivyo hivyo uone.Aisee angalau waislamu watanganyika akina JK hawana ujinga wa waislamu wa wazanzibari
Boss ukachinje kuku au mnyama yoyote halafu una house boy? Huyo house boy atakuwa anakula mshahara wa bure. Mimi mwenyewe huwa sichinji huwa nawaita wanachinja.Hahahaha umenikumbusha mbali,
Niliwahi kukaa Kondoa kukawa na mijadala baina yao waislamu wakawa wanaambiana "Kama ukristu ni dini kweli mbona hawaruhusiwi kuchinja!!? Aisee nilicheja sana halafu nikajikataa zangu