Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dini yetu wapi ilisema kuhusu wabara? Tambua shobo zinawagharimu ..Hamtakiwi ila shobo kibao kaeni kwenu.Wewe unaona hiyo iko sawa??kutopenda wabara na kuwatenga je ndio mafundisho ya dini yenu hayo?
Yule afisa biashara kule morogoro mbona alichana hadharani?Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
kwani hhap walibya wanapigana na wazungu?payback kwa wazungu waliokuwa wamewatawala na kuchukuwa resources zao. Hao walibya na Afghanistan yote wamesababishiwa na wazungu, hebu kasome tena historia ya hayo mataifa.
VATICAN ni NCHI huru.Mkuu Vatican siyo nchi ni eneo la Kanisa Catholic kama ilivyo pale st. Peter posta! Sasa sijui unamaanisha kuna waislam wanaishi kanisani?
Muongo huyo, Kuna jamaa morogoro kule tena ni afisa biashara alichana korani hadharani ilikua 2020, na video alirekodi na ikasambaa mtandaoni.Kama nitachana msahafu Mimi ndiyo nitakuwa mgomvi na napaswa kuadhibiwa vikali maana nimedharau imani ya watu
Nimekaa kondoa asilimi 80 no waislamu kweli nimekutana na baadhi ya changamoto ila sikutishiwa uhai na mamlaka za kiuobgozi ziko thabiti tofauti na Zanzibar
Ukiona unanyimwa haki ya kuabudu huko Zenji rudi kwenu Bara, Sisi WATANGANYIKA ni wakorofi na always tunalazimisha sana tamaduni zenu zikubalike kule.
Wale jamaa ni waislam kwa 99.9% unataka waendeshe nchi yao kwa taratibu za VATICAN?
Mtaumia, niseme wazi hakuna watu wenye ushirikiano kwenye masuala hayo ya Dini kama hao waislam. Ikitokea Dini tofauti na wao wakawafanyia vurugu wenzao, hata kama ni Suni na Shia hao jamaa wataungana na utaumia.
Mnapoamua kutetea kitu chochote msiishie kwenye Sheria za ndani ya nchi tu, angalieni pia imani za watu.
Hizi dharau kwa Wazanzibar niwaambieni ziwe kwenye masuala ya ajira, umiliki wa Ardhi nk, mkijaribu kuweka kwenye mlengo huu wa Kidini basi ugomvi huo mtapigana na waislam wa Tanzania nzima na sio Zanzibar kwa kigezo cha kuwaonea waislam wenzao.
Jengeni hoja za Zanzibar kwa muktadha wa Ajira, Elimu, Umeme nk msijenge kwa mlengo wa Dini, hamtoungwa mkono na waislam wa Bara.
USHAURI WANGU NI HUO.
Hizo nchi hawana akili hadi wanasababishiwa machafuko na wengine? Russia ni adui wa westerners, China ni adui wa westerners Ila mbona wao hawasababishiwi hayo machafuko? Au ndio unasema waarabu akili hawana?Hizo nchi ulizozitaja, Nani amesababisha machafuko
😀😀😀Ila kitimoto rosti huwa inasafirishwa vizuri Kuna mtu huwa namwagizia akiimiss via Azam marineHivi ile boat ya Azam unaeza panda na nguruwe
Nataka enda na panga Kali na kundi la watu 20 hivi tukamfunge sehemu kwnye mti ole wake wake watageuka nyama au nikaanze fuga nguruwe zanzibar
Kasemo history ya Libya, Iraq, Tunisia, Sudan, Somalia, Nigeria, utaelewa Nini namaanisha. Libya walikuwa wanataka mafuta, nchi ilitulia tu, wakawavuruga, Iraq walikuwa wanataka mafuta, wakawavuruga, Sudan mpaka zikavunjika, kisa wachukue mafuta Sudan Kusini, Nigeria Biafra walitaka kujitenga, hawakupewa sapoti kisa hawana interest napo, Saudi Arabia, Kuwait, Qatar, hakuna matatizo kwasababu wanapata wanachokitaka. Jielimishe ya Dunia upate maarifaNani anawasababishia hebu tufungue macho
Niseme uongo hili kukufurahisha ww au nani?!Acha uongo bidada
Russia na China umeona Kuna mfumo wa vyama vingi kwenye Urais. Wanatumia hizo njiaHizo nchi hawana akili hadi wanasababishiwa machafuko na wengine? Russia ni adui wa westerners, China ni adui wa westerners Ila mbona wao hawasababishiwi hayo machafuko? Au ndio unasema waarabu akili hawana?
Hiki kifungu akina Faidha Foxy wamekikariri sana.وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾
120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Yuko wapi leo hii??Yule afisa biashara kule morogoro mbona alichana hadharani?
si walitawaliwa kabla?kwani hhap walibya wanapigana na wazungu?
Kule myanmar mbona hamkuungana ili muwaumize baada ya kuwaua waislamu wengi?Ukiona unanyimwa haki ya kuabudu huko Zenji rudi kwenu Bara, Sisi WATANGANYIKA ni wakorofi na always tunalazimisha sana tamaduni zenu zikubalike kule.
Wale jamaa ni waislam kwa 99.9% unataka waendeshe nchi yao kwa taratibu za VATICAN?
Mtaumia, niseme wazi hakuna watu wenye ushirikiano kwenye masuala hayo ya Dini kama hao waislam. Ikitokea Dini tofauti na wao wakawafanyia vurugu wenzao, hata kama ni Suni na Shia hao jamaa wataungana na utaumia.
Mnapoamua kutetea kitu chochote msiishie kwenye Sheria za ndani ya nchi tu, angalieni pia imani za watu.
Hizi dharau kwa Wazanzibar niwaambieni ziwe kwenye masuala ya ajira, umiliki wa Ardhi nk, mkijaribu kuweka kwenye mlengo huu wa Kidini basi ugomvi huo mtapigana na waislam wa Tanzania nzima na sio Zanzibar kwa kigezo cha kuwaonea waislam wenzao.
Jengeni hoja za Zanzibar kwa muktadha wa Ajira, Elimu, Umeme nk msijenge kwa mlengo wa Dini, hamtoungwa mkono na waislam wa Bara.
USHAURI WANGU NI HUO.