Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Na hatuwalipi mpaka wasuse Muungano, kama demu ajifukuzishae mwenyewe bila taraka.
 
Zanzibar ndiye mhanga mkubwa wa Muungano eneo la mgawanyo wa rasilimali.

Tanganyika ndiye mhanga mkuu wa Muungano eneo la mamlaka
 
Reactions: 511
SIDHANI KAMA TUNA MUDA MREFU NA HUU MUUNGANO!
kifupi Wazanzibar hawajui wanachotarajia kukipoteza!
wakati mwingine mnatulazimisha kusema ukweli mchungu! hivi tunaelewa vizuri wazanzibari WENGI walitokea wapi?
NIMEANDIKA LAKINI NAFSI IKAGOMA NIMEFUTA.
 
At
Ata babu zetu waliwaza kama wewe kuhusu kuvunja muungano lakini ikashindikana

Sasa inatakiwa uvunje wewe kama uwezi itakua history.
 
At

Ata babu zetu waliwaza kama wewe kuhusu kuvunja muungano lakini ikashindikana

Sasa inatakiwa uvunje wewe kama uwezi itakua history.
Binafsi sikutegemea Muungano kuwa unaweza kuwa kero lakini kwa sasa wacha malalamiko yao yawe sala halali kwa MWENYEZI MUNGU. Wacha uvunjike kisha wajukuu zetu watajenga Muungano halali ambapo Zanzibar yote itamezwa na kuwa mkoa.
 
Ndo washalipia kodi ya ardhi wanazomiliki huku bara imetoka hio
NUSU YA IDADI YOTE YA WAZANZIBAR WANAISHI BARA! KWA RAHA ZAO, WAZANZIBAR WACHACHE WAJINGA NDIO HAO KILA SIKU KUZUA NA KUZUSHA YA KIPUMBAVU KABISA.
 
Wtz tusubiri mwaka ujao nitashinda uchaguzi ujao na Cha kwanza kukifanya itakuwa kuvunja muungano na kuwafukuza Wazenji wote walioko Huku na kulimega eneo lao lote la bahari kuwa la Tanganyika .
 
..sio kweli.

..kilichotokea ni fedha za Tgk na Znz kuhamishiwa BOT baada East African Currency Board kuvunjika.

..Waznz wanajaribu kupotosha kwamba Watgk tulikuwa hatuna kitu, au kuwa wametufadhili, ktk muungano wetu.
Asilimia nne haiwezi kuwa ufadhili,uwe unasoma na kutafakari,walichangia 4% na hawajawahi PATA gawio,maana yake Tanganyika ilichangia 96%,so Kama Kuna gawio wanapasa kupewa
 
Afu fun enough Wazanzibar ndo mara zote wanajifanya kuibua mada za kutuchachafya na huu muungano!
Wanajiamini, sisi ndio tunawang’ang’ania. Watanganyika tupo kimya ni vile tunawafaidi sana hawa. Wangekuwa wanatunyonya tungeshawatema kitambo.
 
..sio kweli.

..kilichotokea ni fedha za Tgk na Znz kuhamishiwa BOT baada East African Currency Board kuvunjika.

..Waznz wanajaribu kupotosha kwamba Watgk tulikuwa hatuna kitu, au kuwa wametufadhili, ktk muungano wetu.
🤣🤣🤣
 
Ifike tu muda tuache kukalazimisha haka kamuungano, kuna angle nyingi sana kanagoma kumatch!!!!! ndo vile tu wanasiasa wanakaforce,,, sijui ni kwa faida ya nani sasa.

Hata tukowachana na muungano, deni la Zanzibar lazima lilipwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…