Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Juzi wamekwapua ardhi Bagamoyo leo wanaitaka BoT, mpka maza amalize kipindi chake vitu vingine sn watakuwa wamechukua
 
Kwan muungano huwa una nini mbona wamekomaa nao sana ? Tuachane nao. Hawa wapemba mbona kama hawatutaki ?
 
Hawa jamaa tunawalea sana. Zanzibar inapaswa kuwa treated kama mkoa. Nashangaa inapewa hadhi kubwa isiyo stahili.
Nyerere aliwapa favor kidogo basi wanajiona kama vile tunawategemea wao. Hizi ni tabia za kitinda mimba
 
Kuna kipindi mtawala wa china,makao makuu yalikua Hong Kong Kama siyo Taiwan
Haya ni maneno yasiyo na ushahidi mkuu. Weka ushahidi tujifunze.
Halafu tofautisha uvamizi na umiliki. Vipi mpaka leo bado iko hivyo ulivyosema?
 
Bila Zanzibar hakuna Tanzania,uwe unatumia vizuri dafu lako juu ya mabega
Tanzania ni jina tu. Muda wowote lina weza kubadilika lakini nchi inabaki vile vile.
Swaziland imebadikika kuwa Eswatini, lakini nchi ni ile ile tu.
Kwa hiyo sio sawa kusema hakuna Tanzania bila Zanzibar, ila sema hakuna jina la Tanzania bila jina la Zanzibar.
 
Huo ni mkoa tuu, ngoja nipewe nchi muone ntakavyowasha moto. Hatutaki uarabu kwenye nchi na ardhi yetu.
Umebugizwa chuki za kidini na Sasa unajamba tu,hata kufikiri huwezi,mwarabu katoka wapi kwenye huu mjadala!?..bila mwarabu usingetumia neno 'ardhi'
 
Unafikiri kweli!?.. Tanzania ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…