Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mpaka sasa, nani anammiliki mwenzake kati ya china na Taiwan?Watawala wa Taiwan,mpaka 1940s walijihesabu wao ndiyo watawala halali wa Dola yote ya uchina na akina mao,waliokua wakitawala china bara ni waasi
Wapewe na nani sasa?Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.
Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
We jamaa bana 🤣🤣,yaani tukichanga mtaji hela zako na zangu ni sawa na hela zako peke yako au hela zangu peke yangu!?..tukiunganisha kiwanja chako na changu ni sawa tu Kwa ukubwa na tusipounganisha, really!?Nimekwambia Tanzania ni jina tu.
Zanzibar ikiondoka nchi inabaki kama Tanganyika. Ka sehemu kadogo tu ka ardhi ya Zanzibar ndiko katakuwa kameondoka.
Wewe mwenye strong reasoning ability una lipi jipya?
Uliuliza tangu lini kisiwa kikatawala bara(mainland),nikakwambia Kuna kipindi mtawala wa china alitawala tokea Hong Kong au Taiwan,ushasahau hata ulikotoka, sultan WA Oman aliitwala Oman(bara) kutokea Zanzibar baada ya kuhamisha makao makuu ya Dola yakeMpaka sasa, nani anammiliki mwenzake kati ya china na Taiwan?
Hicho ulichoandika hapo ndicho nilichokisema kuwa kinatokana na ubabe wa kivita tu. Asie na huo ubabe hawezi dai hivyo.
China na Taiwan ni nchi moja au ni nchi mbili tofauti?
Haina uhalisia. Tanganyika na Zanzibar ziko sawa?We jamaa bana 🤣🤣,yaani tukichanga mtaji hela zako na zangu ni sawa na hela zako peke yako au hela zangu peke yangu!?..tukiunganisha kiwanja chako na changu ni sawa tu Kwa ukubwa na tusipounganisha, really!?
Hatukuongelea utawala, tuliongelea umiliki.Uliuliza tangu lini kisiwa kikatawala bara(mainland),nikakwambia Kuna kipindi mtawala wa china alitawala tokea Hong Kong au Taiwan,ushasahau hata ulikotoka, sultan WA Oman aliitwala Oman(bara) kutokea Zanzibar baada ya kuhamisha makao makuu ya Dola yake
Security ndo inafanya Tanganyika ionekane inalazimisha muungano.Watanganyika wanajipendekeza kwenye muungano.
Usiku mwema babuHaina uhalisia. Tanganyika na Zanzibar ziko sawa?
Dumb ass!!
Sawa bibi.Usiku mwema babu
Wapewe.........unaona hilo ni sinia la biriani......hata hio Zanzibar yenyewe kwenye muungano watu hawakupewa tu........Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.
Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.
Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
wasema kweplli tupu yakhe😁Mna nini ninyi mpaka rais mnapangiwa kitoka bara.NYIE NI MKOA SEMA TU HAMJATAMBUA
Naraisi wa bara anatoka wapi?.wasema kweplli tupu yakhe😁
Rais wa bara antoka Dodoma yakhe,ushanfahamu hee?Naraisi wa bara anatoka wapi?.
Ccm bara ndo kusema ndo wenye muungano wao.samia pazia tu hapoNaraisi wa bara anatoka wapi?.
Atakuwa ni mwongo huyo. Huenda sasa hivi hana traction sana kwenye medani za kisiasa hivyo anatafuta kiki kwa wazanzibar. Katika kuanizhs benki kuu hakukua na kitu kinaitwa kutoa mtaji bali ile east African Curreny Board ilijivunja na kuacha kila lilikuwa tawi lake kuwa benki kuu ya nchi husika: Bank of Tanzania, Bank of Kenya na Bank of Uganda.Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.
Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa
Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.