Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Kabla ya mama kero za muungano zilikuwa zinaikera Zanzibar, mama alipoingia kero za muungano akazimaliza kimya kimya ndani ya dakika sifuri na hapo hapo zikaibuka kero za muungano kwa upande wa Tanganyika!! Ni nani mwenye ubavu wa kuzisemea kero za muungano kwa upande wa Tanganyika!! Wengi waliopo hata wanaona aibu au wanaogopa kujiita watanganyika!!
 
Mimi sijasema jina lakini inaonyesha wewe unajua zaidi
Top manyota ni yeye mwenyewe hakuna cha uremote wala nini ! Labda huwa anaomba ushauri ushauri tu maana hilo likazi nalo ni gumu linahitaji uzowefu na ujasiri mkubwa !!
 
Mkubwa huwa anaogopa kuchekwa akisema anaonewa na mdogo wake !!
 
Kero
Your browser is not able to display this video.
Za muungano haziwezi kuisha kwa Zanzibar kwani hiyo Zanzibar yenyewe ipo ipo Tu kifigisu figisu.
Msikilize
 
Top manyota ni yeye mwenyewe hakuna cha uremote wala nini ! Labda huwa anaomba ushauri ushauri tu maana hilo likazi nalo ni gumu linahitaji uzowefu na ujasiri mkubwa !!
Mbona unajaribu kukimbia Na ulishatumwagia punje Za mtama kidogo
 
Mbona unajaribu kukimbia Na ulishatumwagia punje Za mtama kidogo
Zile ni speculations tu sidhani kama zina ukweli !! Lakini pia inawezekana ! Ila mimi sijui !! Lakini kama itakuwa kweli ni yeye mwenyewe amependa iwe hivyo! Maana katiba inampa madaraka yote yeye sio mtu mwingine yeyote !! Na wala sio kwa hisani ya mtu au taasisi yeyote !! Yeye ni Top kwa mujibu wa katiba ya Nchi na si vinginevyo !!
 
Katiba Si inafuatwa kwa vile vitu vinavyopendwa Na Wazee wa CCM vyenginevyo mambo mengi yanafanywa kinyume Na katiba
 
Zanzibar ni mkoa mmojawapo wa Tanzania, sema umepewa heshima ya kipekee kwasababu umezungukwa na bahari halafu Kuna waislamu wengi.
 
Zanzibar ni mkoa mmojawapo wa Tanzania, sema umepewa heshima ya kipekee kwasababu umezungukwa na bahari halafu Kuna waislamu wengi.
Huo uislamu ndio lengo tokea kuja wazungu, ingalikuwa ZNZ ni nchi ya kikristo isingalivamiwa Na Tanganyika chini ya msaada wa Waingereza
 
Ndivyo älivyokuambia?
Basi angegoma mapema..mbona alikubali hadi umauti umemkuta akiwa makamu...na nzuri zaidi ndiye aliyeomba watanganyika waje kumsaidia dhidi ya utawala ma kisultani usirudi tena zenji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbe umeelewa ila unatafuta ligi , hivi alipoomba ulikuwepo au alikuambia wewe tu?
 
Katiba Si inafuatwa kwa vile vitu vinavyopendwa Na Wazee wa CCM vyenginevyo mambo mengi yanafanywa kinyume Na katiba
Labda kwa mambo madogo madogo sio kwa jambo kubwa kama hilo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…