mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Zenji ni Nchi yenye bahati ya kuvuna kwenye shamba la bibi!! 2021-2025 ni kipindi cha mavuno. Kikiongezeka hadi 2030 watavuna kiasi ambacho hawatahitaji tena shamba la bibi! Watakuja na mkwara wa kujitenga!!!!! Itakuwa imeshakuwa Dubai ya Africa!!Zanzibar ni nchi huru isiyo na uhuru!
Zanzibar haichangii hata ndururu kwenye Muungano.Hahaaaa..hii hoja haiko sawa kabisa..cha msingi SMZ iuliwe haina mana uwepo wake..kama zote Tanganyika na Zanzi ziliamua kuuunda Tanzania why kuwepo serikali ya smz..ambayo kila uchwao inaonyesha dalili ya kujifanya taifa huru.?
Suala la ardhi hoja ya kuwa visiwa ni vidogo sidhani kama inamashiko mana hii ni nchi moja na katiba inaruhusu mtu yoyote kuishi mahali popote ndani ya JMT huoni zenj ni wabinafsi.
Sambamba na hilo..hivi SMZ inachangia kiasi gani kwenye pato la the so called JMT.?
#MaendeleoHayanaChama
Kwasasahiv ni mkoa wa Tz.Zenji ni Nchi yenye bahati ya kuvuna kwenye shamba la bibi!! 2021-2025 ni kipindi cha mavuno. Kikiongezeka hadi 2030 watavuna kiasi ambacho hawatahitaji tena shamba la bibi! Watakuja na mkwara wa kujitenga!!!!! Itakuwa imeshakuwa Dubai ya Africa!!
Usiwadanganye eti wakitaka watoke!. It's very unfortunately zile artcles of Union sio contract ni aggreement, tumeungana for life, hakuna kipengele cha kuvunja Muungano, hivyo huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.Ongea yote lakini Karume aliingizwa mkenge na Nyerere mtoto wa mjini akagawa nchi kupitia Hati Idhini ya Muungano (Articles of the Union). Zanzibar siyo nchi bali dola, nchi Tanzania. Hutaki unaacha, lakini ukweli ndiyo huo.
Kuhusu Zanzibari kujitoa kwenye Muungano: Binafsi nasema hata leo usiku wakitaka watoke tu.
Mkuu Pascal unamaanisha unachoongea, au unaongea ili watu fulani waone msimamo wako?Usiwadanganye eti wakitaka watoke!. It's very unfortunately zile artcles of Union sio contract ni aggreement, tumeungana for life, hakuna kipengele cha kuvunja Muungano, hivyo huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Uchina ya kikomunisti (Peoples Republic of China) haikuwa na kiti Umoja wa Mataifa na haikutambuliwa na mataifa ya magharibi hadi mwaka 1979. Unataka kuniambia kwamba Uchina haikuwa dola ???
Kuhusu kusimamia usalama wake: Nchi kama Vatican na Andorra zinasimamiaje Usalama wake ilhali hazina hata majeshi ???
Uchina ya kikomunisti (Peoples Republic of China) haikuwa na kiti Umoja wa Mataifa na haikutambuliwa na mataifa ya magharibi hadi mwaka 1979. Unataka kuniambia kwamba Uchina haikuwa dola ???
Kuhusu kusimamia usalama wake: Nchi kama Vatican na Andorra zinasimamiaje Usalama wake ilhali hazina hata majeshi ???
Hakuna raia wa Tanganyika.Mbona Zanzibar ina Rais na serikali huku Tanganyika ikikosa vyote hivyo?......huku si kuwanyima haki raia wa Tanganyika?
😀Kujenga hoja kunahitaji uangalifu zaidi
Zanzibar kwanza ni taifa, a nation (a large group of people who inhabit a specific territory and are connected by history, culture, or another commonality). Wanzanzibari wana historia, wana utamaduni. Wazanzibari popote walipo duniani wanajitambua kama Wazanzibari na wanatambulika kama Wazanzibari. Asili ya Wazanzibari haipotei. Zanzibar ilivamiwa na Nyerere na jeshi lake ikapoteza uhuru. Siyo kupungua, ilipoteza kabisa. Lakini kutokana kuwa Zanzibar ni taifa, lazima kuna siku uhuru utarudi.
Tanganyika haikuwa taifa, ilikuwa ni mkusanyiko wa makabila uliowekwa pamoja na serikali ya Uingereza wakaita Tanganyika. Tanganyika ilikuwa haina historia, haina utamaduni wake. Ni nchi bandia (artificial country). Nyerere alilijua hili na ndiyo maana kwake ilikuwa rahisi kuiua Tanganyika, kuvamia Zanzibar na kuunda nchi mpya aliyoita Tanzania ambayo nayo ni batili (artificial country). Nchi ya kweli ambayo ilipoteza uhuru wake ni Zanzibar pekee kwa sababu Zanzibar ni taifa kwanza.
Kwanini utambulisho wa Tanganyika ufe na wa Zanzibar uwepo?....hii sio sawa.Hakuna raia wa Tanganyika.
Uraia wa Tanganyika uliisha tangu April 26, 1964, ambapo Taifa la Tanganyika na Zanzibar yaliungana, na kuzaliwa Tanzania.
Tanganyika na Zanzibar zilipoteza uhuru wao na kuzaliwa Dola huru Tanzania.
Hao raia wa Tanganyika wako wapi na wanaishi sehemu gani?
Faida ni kuongeza eneo la utawala tu.....ila gharama zingine kama madeni tunabeba Tanganyika japo mikopo wote tulifaidi....hii sio sawa.No sio kuwanyima haki, bali ni Tanganyika ndio tumefaidika zaidi, kabla ya Muungano, Tanganyika ilikuwa ni eneo la Tanganyika tuu, baada ya Muungano, Tanganyika ikabadili jina kuwa Tanzania na sasa eneo lote la JMT ni letu Zanzibar inclusive!. Serikali ya JMT ndani yake ndio kuna serikali ya Tanzania Bara kwa mambo ambayo sio ya Muungano.
P
Wewe ni muongo tena. Muongo mkubwa. Zanzibar iwe na history halafu Tanganyika ikose history ?! Mbona umeikuza mno zanzibar na kuidunisha Tanganyika. Kwa lipi hasa ?!.Zanzibar kwanza ni taifa, a nation (a large group of people who inhabit a specific territory and are connected by history, culture, or another commonality). Wanzanzibari wana historia, wana utamaduni. Wazanzibari popote walipo duniani wanajitambua kama Wazanzibari na wanatambulika kama Wazanzibari. Asili ya Wazanzibari haipotei. Zanzibar ilivamiwa na Nyerere na jeshi lake ikapoteza uhuru. Siyo kupungua, ilipoteza kabisa. Lakini kutokana kuwa Zanzibar ni taifa, lazima kuna siku uhuru utarudi.
Tanganyika haikuwa taifa, ilikuwa ni mkusanyiko wa makabila uliowekwa pamoja na serikali ya Uingereza wakaita Tanganyika. Tanganyika ilikuwa haina historia, haina utamaduni wake. Ni nchi bandia (artificial country). Nyerere alilijua hili na ndiyo maana kwake ilikuwa rahisi kuiua Tanganyika, kuvamia Zanzibar na kuunda nchi mpya aliyoita Tanzania ambayo nayo ni batili (artificial country). Nchi ya kweli ambayo ilipoteza uhuru wake ni Zanzibar pekee kwa sababu Zanzibar ni taifa kwanza.
Upuuzi huu unaletwa na watu wa Tanganyika. Ajabu wa Tanganyika kutotaka kuiona wa Tanganyika bali waTzHii sentensi inaleta ukakasi pale unaposema Zanzibar ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT, mbona ile nchi ya pili imepotea??
Why P. ?!Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, zote mbili zilikufa ile April 26, 1964 kwa kupoteta sovereignty zake, na kuzikabidhi kwa Taifa jipya la Tanzania. Tanganyika ikalifuta hadi jina na kugeuka Tanzania Bara. Zanzibar ili maintain jina lake.
P
Don't know why.Why P. ?!
Ngoja wehu wafe tu utakufaUsiwadanganye eti wakitaka watoke!. It's very unfortunately zile artcles of Union sio contract ni aggreement, tumeungana for life, hakuna kipengele cha kuvunja Muungano, hivyo huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Zanzibar ni ki mkoa kimojawapo nchini Tanzania, asilimia 70 ya wakazi weusi wa Zbr wametoka bara.Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar?
2. Kwanini ni ngumu ajira za Zanzibar kuhusisha Watanganyika?
3. Kwanini wana rais wao na bendera yao?
4. Kwanini wana taasisi zao zinazojitegemea kama mahakama, bunge, tume ya uchaguzi nk?
5. Kwanini timu za Zanzibar zinaiwakilisha Zanzibar kama nchi kwenye mashindano mbalimbali ya CAF kwa ngazi ya vilabu?
6. Kwanini taasisi zao zinaendeshwa tofauti kabisa na Tanzania, mfano kule watu wanatibiwa bure kwa hospitali za serikali, gharama za umeme ni nafuu sana nk?
Ukinambia Zanzibar ni nchi huru nitakuuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini haina amiri jeshi mkuu kwa maana ya kwamba haina jeshi linalojitegemea?
2. Kwanini Tanzania ikikopa Zanzibar wanapata fungu lao tena kwa uwiano usio sawa (Zanzibar inapata ratio kubwa) huku ikiwa mlipaji wa mkopo akiwa Tanzania bara pekee.
3. Kwanini haina sarafu yake yenyewe?
Mtazamo wangu: Muungano una mapungufu mengi.
Huwezi kuwa na Nchi ambayo kuna wakati inakuwa nchi kamili na kuna wakati inakuwa sehemu ya nchi nyingine.
Nadhani ni muda sahihi Zanzibar kuwa mkoa wa Tanzania, ama tuwaachie nchi yao wajitegemee.
Inavyoonekana ni kuwa Nyerere alitaka kuwalaghai Wazanzibari mwisho wa siku akajikuta anatengeneza muungano usioeleweka na sasa madhara yake yapo dhahiri.
Hoja ya usalama kwangu haina mashiko! Kama tumeweza kuilinda mipaka yetu yote dhidi ya nchi korofi zinazotuzunguka tutashindwaje kujilinda dhidi ya Zanzibar?
Umeona ulivyo unazungumza vitu kwa kukaririshwa: The Vatican City na The Holly See ni viti viwili tofauti. Tena ukizungumza hivi mbele ya watu wasomi utadharaurika sana. The Vatican City na The Holy See ni kitu kimoja tokea lini ???Kuilinganisha nchi ya Zanzibar na Taifa la Vatican (Holly Sea/ Holly Chair)ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu.
Umejichanganya sana. Wewe siyo raia wa Vatican wewe ni raia wa Tanzania, ambaye yuko chini ya sheria za nchi ya Tanzania: Sheria za Vatican ambazo zinakuongoza wewe ni zile kidini (Canon and Ecclesiastical Laws), tena kwenye mambo machache kama ndoa, talaka na ubatizo wa watoto. Ukienda Vatican ndiyo utabanwa na sheria za huko.Ni hivi, ili kitu (entity) iwe dola (state) inapaswa kuwa ni vigezo vinne.
1. Watu.
2. Serikali.
3.Eneo(territory)
4. Sovereignty (Uhuru) both uhuru wa ndani ya mipaka na nje ya mipaka.
Kwenye sheria ya Marekani kuna kitu kinaitwa THE FEDERAL COMPACT, (Ndiyo nadharia unayiongea hapa)kinachodai kwamba yale madola yaliingia kwenye mkataba wa maisha, hivyo sehemu ya uhuru wao ikafa na sasa wanadhaminiwa na serikali ya shirikisho.Usiwadanganye eti wakitaka watoke!. It's very unfortunately zile artcles of Union sio contract ni aggreement, tumeungana for life, hakuna kipengele cha kuvunja Muungano, hivyo huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P