Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

Unapokuta kundi la watu wanalia unajiunga nalo hivyo nadhani hao unaowasemea ni kwamba wamewakuta waarabu wako wa safi.
 
Daaa hebu ngoja nichangie kidogo baada ya kusoma mada na replies kadhaa.

Ukweli nimekaa kidogo Pemba na sehemu niliyokaa (konde hospital) landa ni kwa sababu ilikuwa jirani na hospitali so kidogo usafi ulikuwepo.

Ila ukweli kuna mahala kwingi na nyumba ukipita unaona kinyaa.

Twende Unguja sasa 😢 niwe mkweli, watu ni wachafu nasema ni wachafu usione mtu kavaa uzuri asee.

Kinachosababisha magonjwa ya Malaria, kipindupindu au kuhara yasiwakumbe raia wa hiyo nchi ni serikali, yaani serikali kwa kutumia kodi inafanya kazi nzuri kwa kugawa na kupuliza mara chache hasa uswahilini as daraja bovu nk.


Yaani issue ya usafi kwa nchi hiyo ni zero degree, ukiishi nyumba ya kukodi na wapangaji wenzako ambao ni wenyeji ndipo unaweza kupata real test of zanzibar life, bafu au choo ni no usafi, labda uamue mwenyewe na ukifanya usafi wanakushangaa.

Ukiwaambia au kuwauliza wanasema siye ndo maisha yetu, kuswakia chooni, yaani choo cha jumuiya na harufu wao ndo uhai wa kinywa 😢!.
 
Watu wa pwani wachafu bna!! Ukitoa kuoga na kujifukiza udi huwa wanaishi kwenye mazingira machafu sana nadhani pia inachangiwa na uvivu.
Si kweli, mnalo lililowakaba kooni mnashindwa kulisema tu. Mtabaki mara "wapemba" mara "wazanzibari", mara wa "pwani" mara "waswahili", kuutamka ukweli i uliowakaa kooni mnashindwa. Hiyo inaitwa "... Phobia"

Limewakaa kooni, kulitema hamuwezi kulimeza hamuwezi.
 
Africa kuna upumbavu wa aina take,watu wakikemea kitu zinatangulizwa dini-kwa hiyo unataka watu wasizungumze kisa dini za kikoloni.
Kuna haja gani ya kupiga vita uchafu na kuchanganya mitazamo ya dini. Unaweza kunieleewesha uhusiano wa hivyo vitu viwili Kwa mkabala huu unaoongelewa hapa?
 
Hivi watu wote wakiongea kama mkuu hapa bila kuzua tafarani Kwa kugusa dini zao Nn kitaharibika?
 
Acheni uchafu khaa.usafi sio kuoga na kujifukiza udi tu
 
mwarabu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…