Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
It is not wise to argue with a fool!
sasa wewe mweledi unashindwa kutoa jibu,akili zako na shonza bora ya huyo shonza,anayefanya kazi maalum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is not wise to argue with a fool!
kama ndivyo ulivyo; ahadi yako na wewe inakusogelea.
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu
Ni Bibilia hipi unayoiongelea wewe? na yale maandiko ya jicho kwa jicho yapo kwenye kitabu gani? ach kuongea vitu usivyovijuwa.kwa mujibu wa biblia hatupaswi kulipiza kisasi na wala kuhukumu,tuwaombee waliofanya hili tukio wakumbuke toba kwani hawajui watendalo, Rest in peace baba paroko mbele yako nyuma yetu-AMINA
Padri Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.
Source: Radio Wapo
Ukijibiwa maswali haya unaweza kumfufuwa? acha ujinga.Amepigwa risasi sehemu gani ya mwili?? Walikua wangapi kwenye gari lake?
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.