Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Nchimbi hajaenda kuhakikisha ufanisi wa kazi wanazozifadhili?
 
hapo ndipo tulikofikishwa, hivi wanaokaa kusema tz ni nchi ya aman, aman yenyewe ndo hii?alipigwa mwingine risas had leo hakuna anaejua aliehurika, kauawa mchungaj mwanza, hakuna anaejua, leo kauawa mwingine story ni hizohizo!
 
Hawa watu walianza na kukashifu Ukristo hadharani kwa mihadhara
'
Wakachoma makanisa wakaitwa "wahuni","kikundi kidogo cha watu",leo wanaitwa "watu wasiojulikana"
'
Uvumilivu huu wa Wakristo ni wa kijinga
'
Kwanini serikali inakua na ukimya wa hovyo namna hii?
'
Siku hali ikiwa mbaya nani alaumiwe?
 
Napata mashaka mauwaji yakiendelea wazanzibari watapata wakati mgum sana huku tanganyika.

Hali hii ikiendelea wataibuka vichaa na kufanya mauwaji ya kutisha kwa wazanzibari na itatutia aibu kubwa watanzania dunian kote.

Kwavile Kikwete na mwema wameamua kuwa sehem ya mpango mkakati wa kutokomeza amani yetu napata kigugumizi.....
 
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu

Usingoje hiyo nafasi, kwa mola kutajaa kabla hujafika. Nakushauri amka usiku nenda round about jilipue uwahi kwaq mola wako mpuuzi wewe
 
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao.
 
kwa mujibu wa biblia hatupaswi kulipiza kisasi na wala kuhukumu,tuwaombee waliofanya hili tukio wakumbuke toba kwani hawajui watendalo, Rest in peace baba paroko mbele yako nyuma yetu-AMINA
Ni Bibilia hipi unayoiongelea wewe? na yale maandiko ya jicho kwa jicho yapo kwenye kitabu gani? ach kuongea vitu usivyovijuwa.
 
Habari za uhakika kutoka zanziba zinasema kuwa padre amepigwa risasi mbili kichwani na kufariki japohapo
Amepigwa asubhi hii akiwa njiani kuelekea kanisani kuongoza misa!
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???
 
Padri Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Sasa Hapa Ndugu Zangu, Wakristo wenzetu Uvumilivu Utawashinda , Wamevumlia sana Wamevumilia vya kutosha . Tunakoelekea jamani sio kuzuri Tunaomba ndugu zetu waislamu Huko Zanzibar Mukemeee Matukio haya, wambieni hao wanzibar waache haya matukio Otherwise Maisha yatakuwa Magumu sana. Naiomba Serikali hili Suala wasilichukulie kimasiara . Mungu ibariki Tanzania , mungu ibariki Africa
 
Hawa waislam wameamua sasa. Naamin hawataiweza vita na Wakristo. Huo ndio ukweli, kwamba pale Wakristo watakapoambiwa wafunguke, hata maofisini patakuwa hapatoshi.

Nawasihi wakristo wa hii Nchi wakapigane vita ya kiroho, ili kulisuru Taifa. Hakuna sababu ya kushindana na hawa wajinga. Hawana kazi na wanachoona ni kuwapiga wakristo wasiokuwa na hatia. Naamini waislam wakiamua kujitenga.

leo, ndo kwanza umaskini wataufungulia milango!! Mungu atuepushe na hili pepo lililojificha kwenye dini ya hawa wenzetu.

Ni matumaini yangu kuwa, Watanzania wanaipenda Nchi yao na hayo Waislam wanayotaka hayatatokea! Waende Somali wakajiunge na Al-shabab ili waweze kutimiza haja zao.
 
Ni kweli tumefikia hapa,yani kumuua mtu ambaye hana hatia yoyote!kweli tunamwabudu MUNGU tofauti,vita vyetu siyo vya mwili na damu so acha waue then wakiwamaliza wakristu wataanza kumalizana wenyewe kama uarabuni huko,seriously i hate tabia za kipuuzi zinazotokea Zanzibar huku na hiyo laana haitawaacha milele.

Mungu tuepushe na hawa watu wenye chuki zisizo na maana na uweze kujidhihirisha wazi kwao kwamba ww ndiye Mungu wa kweli ambaye huna chuki na wala hujawahi kumtuma mwanadamu yeyote amwue mwanadamu mwenzake kama wafanyavyo wao.

RIP Padre na ijulikane wazi kuwa huo upuuzi wao una mwisho, UPOLE na UPENDO wa Wakristu usichukuliwe kuwa ni UJINGA na UWOGA,hakuna MUNGU kama ww baba wa mbinguni
 
Mwanzo mulisema UAMSHO mukawa kamata viongozi wote. Sasa imetokea tena aya mutuambie ninani huyo?
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.

wewe ni mtu hatari sana,dah!!hii research uliifanyia wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom