Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Lowasa aliyajua hayo ndio maana alitoa mkono haraka na tabasamu juu.
 
Niliwaambia hapa kaeni tayari kwa lolote leo. Tushakula hasara miaka mitano
 
Aisee nahisi kama mh.wetu hayupo sawa.sijui lakini
 
Duh...shughuli shughulini.Ndo maana tunasema katiba inavunjwa na Magu watu hawasikii.
 
Nchi Ya Viwanda Na Kwasasa Iko Kwenye Mambo Ya Sheria. Tangu Jpm Aseme Mtu Akikamatwa Na Kidhibiti Hakuna Haja Ya Mahakama Afungwe Haraka Bado Sijaona Utekelezaji Wake Hasa Kwa Upande Wa Mahakimu Na Majaji. Ni Kama Wanatafakari Hili Jambo
Sheini Aendelee Kusaini KwakuwA Sheria Inamtaka Kufanya Hivyo.

Hii Nchi Kwasasa Kuna Weza Kufanyika Badiliko La Sheria Kwa Maslahi Ya Wachache!
 
Rais wangu mh. Magufuri visasi na vinyongo havijengi..! Timiza matakwa ya kisheria na wajibu wako kama rais kwisha figisi za Zanzibar waachie zitakutia lawamani bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…