Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yani ameenda kibandamaiti kuuzima moto akiwa na kidumu cha petrol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aendelee kutuma wawakilishi mikutano ya kimataifa,atatutia aibu!Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Hiyo ndiyo 'highlighted quote,' ina umuhimu kuliko mengine aliyosema.Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Hao wote wana stahili tuzo kwa kazi yao iliyo tukuka!Ukistaajabu ya Lubuva utayaona ya Jecha.
Alafu kukiwa na pepo za kusiYani ameenda kibandamaiti kuuzima moto akiwa na kidumu cha petrol.
Sasa naamini kuna mkono wake NHC kuvamia kwenye kampuni za Mbowe na kutoa vitu nje!Magufuli aelewe kuna siku hatakuwa rais,atakuwa na stahiki zake.pengine atakuwa madarakani Seif
Lakini usisahau maishani mwako kuwa upanga wa madikteta hauna mwelekeo mmoja!!!Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Lowasa aliyajua hayo ndio maana alitoa mkono haraka na tabasamu juu.Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Wajengewe minara maana mchango wao ni mkubwa sana!Hao wote wana stahili tuzo kwa kazi yao iliyo tukuka!
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Ndo implications yake hiyo.Wenda hata majipu yanayotumbiliwa ikawa ni visasi kwa kauli ya Leo tunatakiwa kufikili nje ya box
Huoni kama no jambo lenye ukakasi?Ina maana anamshauri She in avunje matakwa ya kikatiba na kisheria?Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??