Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Halaf anasema tumuombee kwa Mungu! Kweli? Ni Mungu yupi huyo atanayekubali maombi kwa mtu wa namna hii.
 
Zanzibaris can afford best Medicare for Maalim bila msaada wa SMZ.
 
Rais kama Magufuli ndo anafaa nchi hii kama Tanzania,watu walizoea kubembelezwa sasahivi ni ubabe tu asiye taka ahame nchi au ahamie kwa mafisadi..
 
Mzee kifimbo angekuwa hai angeshamchana" live" nashangaa Mzee Ruksa , Mkapa na Kikwete wako kimya.
 
Toa ushauri nini kifanyike mkuu
Nawaomba wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waungane kutoa hoja ya kumshitaki Rais kwa kutumia kipengele cha kutokuwa na uwezo wa kuiongoza nchi, au kipengele cha kukiuka maadili ya uanzishwaji wa vyama vya siasa.
 
Ushauri wa Boss ni Maelekezo!
Dr. Shein Hana hiyari kutekeleza ushauri/amri ya Amiri Jeshi
 
Jinga kubwa..katika hao ambao wamekuwa brain washed ni wewe pia na wewe tuletee ushahidi wa nyaraka za malipo zinazoonyesha ya kuwa Seif amelipa mwenyewe? kama kukariri yanayosemwa basi you make two of us... nakwambia tena wewe ni muongo unakuja namihemko yako.. safari ya Seif kwenda kwenye matibabu India imelipwa na SMZ..kama huna cha kuongea basi nenda Kanye..
 
Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
nakumbuka pale mlimani, baada ya kusema wanafunzi wa udom vilaza, waadhir wakiwemo mapofessor, walilalamika sana kuhusu hzi kauli zake, ambazo hajui impact yake baadaye anapokuwa anaongea yy kama rais
 
Nawaomba wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waungane kutoa hoja ya kumshitaki Rais kwa kutumia kipengele cha kutokuwa na uwezo wa kuiongoza nchi, au kipengele cha kukiuka maadili ya uanzishwaji wa vyama vya siasa.
Umesomeka mkuu
 
Huyu si rais. Sitaki kuamin jamaa ameamua kuwavurugia wazanzibar nchi yao. Wazanzibar mfukuzeni huko huyo jamaa....mchochezi mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…