ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Halafu huo umma ufanyeje?Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Hzo hesabu umepigaje mkuu..tufundishe na sisi.imenihuzunisha sana hii kauli but miaka 10 sio ming sana
Rais anapaswa kua wa kuliunganisha taifa sio kutenganisha, acheni kusifia ata yasiyofaa, au wewe dini gani inayokufundisha hayo?Unafiki mmbaya sana!JPM kwa kauli hiyo yupo sahihi kabisa,na mleta mada angetenda haki kama angeleta maelezo yote ya alichoongea JPM.
Kwa hilo namuunga mkono jpm,mleta mada leta maelezo yote ya alichozungumza jpm
Haaah, hivi mnasema kweli kayasema haya?
Mkapa tunakuomba for the sake of this country mshauri mtu wako, nchi inakwenda kuangamia kabisa au ndo yale ya kumruhusu jini akatoka nje ya chupa ikashindikana kumrudisha tena.
Halafu Chadema tunadanganywa na hawa viongozi wa dini - watamuweza huyu?
Wanaotakiwa kuikoa nchi hii sasa ni wabunge tu, vinginevyo we are doomed as a country.
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.Siku mkono wake utakapo kupitia basi utajua tu unaumaje. Shangilia tu
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
Hiki ni muhimu sana kwa wengi, kama kwako si muhimu itakuwa jambo la ajabu sana!Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Hofu yangu ni kwamba huyu ni mbabe anaweza kuamru katiba ibadirishwe aendelee kutawala.imenihuzunisha sana hii kauli but miaka 10 sio ming sana
Na wewe ni mnyonge? Ungekuwa mnyonge ungemsaidia rais, wanyonge wanamsaidia rais na wasio wanyonge kama wewe mnampoteza, mnataka aharibikiwe ili mzidi kufaidi!KWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?
HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.
RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....
RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...
Kikwete hakuwa chaguo la Mungu kumbe!!?Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
binadamu ni mtu dhaifu sana (ila wewe umezidi)... Binadamu ni mwepesi sana kulaumu baya kuliko kusifia jema.. Je Magufuli amefanya mangapi mema mbona husemi... Sikufichi hata yule Nywele nyeupe(lowassa) angekua raisi mngekua mnapiga kelele fisadi fisadi.. JE ULITAKA MUNGU AJE KUWA RAIS WA TANZANIA.. AU JE NANI UNADHANI ANGE-FIT KITI CHA URAISISiku unachoshabikia kikitokea ndo utajua maana yake. Sisi tunahisi hata hujui ulisemalo
hiyo yaweza kutokea ndio maana haelewekiHofu yangu ni kwamba huyu ni mbabe anaweza kuamru katiba ibadirishwe aendelee kutawala.
hapana chaguo la mungu alikua LOWASSA .. ila sijui nini kilichotokea??? au mungu aliishiwa nguvu mkuu???Kikwete hakuwa chaguo la Mungu kumbe!!?
Niltaka nikutukane ila bas mkuu nisameheKWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?
HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.
RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....
RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...
Najilaumu sana kupoteza mda wangu na kumpigia kura mtu huyu hakika ningejua bora ningempa lowasaMagufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.