Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Halafu huo umma ufanyeje?
 
Madhara ya vita huumiza sana watu wengine iwewalishiriki au lah, vita ya makundi ndani ya chama chetu imetutokea puani.
 
Unafiki mmbaya sana!JPM kwa kauli hiyo yupo sahihi kabisa,na mleta mada angetenda haki kama angeleta maelezo yote ya alichoongea JPM.
Kwa hilo namuunga mkono jpm,mleta mada leta maelezo yote ya alichozungumza jpm
Rais anapaswa kua wa kuliunganisha taifa sio kutenganisha, acheni kusifia ata yasiyofaa, au wewe dini gani inayokufundisha hayo?
 
Haaah, hivi mnasema kweli kayasema haya?
Mkapa tunakuomba for the sake of this country mshauri mtu wako, nchi inakwenda kuangamia kabisa au ndo yale ya kumruhusu jini akatoka nje ya chupa ikashindikana kumrudisha tena.
Halafu Chadema tunadanganywa na hawa viongozi wa dini - watamuweza huyu?
Wanaotakiwa kuikoa nchi hii sasa ni wabunge tu, vinginevyo we are doomed as a country.

Kwahiyo unasema kuwa kwa kauli hiyo ya rais basi nchi inakwenda kuangamia...Is it?

Hilo ndilo ambalo mmeona linaangamiza nchi na suala la seif kutompa mkono Rais Shein mliona ni jambo lenye kheri kwa mustakabali wa nchi.

Rais wetu mpendwa mara nyingi akiwa anazungumza huwa pia anaifurahisha hadhira yake kwa kuchomekea maneno ya utani...Nyie bavicha mnakaa attention kusikia kauli gani anaitoa mje kupotosha hapa kwa kusema anamaanisha....

Rais jpm tunamfaham vizuri na tunaifahamu dhamira aliyonayo kwa taifa letu ya kuona kila mtu anaishi maisha mazuri yenye matumaini. Kuwepo watu wa kumpinga na kupotosha haiepukiki kwakuwa wapo watu ambao dhahiri hawatafurahishwa na nia ya serikali yake ya kupambana na rushwa na uzembe kazini. Watu hao ni wachache ukilinganisha na wanyonge ambao tuko wengi na tunamuunga mkono...
 
Siku mkono wake utakapo kupitia basi utajua tu unaumaje. Shangilia tu
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
 
Siku unachoshabikia kikitokea ndo utajua maana yake. Sisi tunahisi hata hujui ulisemalo
 
KWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?

HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.

RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....

RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...
Na wewe ni mnyonge? Ungekuwa mnyonge ungemsaidia rais, wanyonge wanamsaidia rais na wasio wanyonge kama wewe mnampoteza, mnataka aharibikiwe ili mzidi kufaidi!
 
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
Kikwete hakuwa chaguo la Mungu kumbe!!?
 
Siku unachoshabikia kikitokea ndo utajua maana yake. Sisi tunahisi hata hujui ulisemalo
binadamu ni mtu dhaifu sana (ila wewe umezidi)... Binadamu ni mwepesi sana kulaumu baya kuliko kusifia jema.. Je Magufuli amefanya mangapi mema mbona husemi... Sikufichi hata yule Nywele nyeupe(lowassa) angekua raisi mngekua mnapiga kelele fisadi fisadi.. JE ULITAKA MUNGU AJE KUWA RAIS WA TANZANIA.. AU JE NANI UNADHANI ANGE-FIT KITI CHA URAISI
 
Seif alikuwa anashawishi wananchi za Zanzibar wasilipe kodi anasahau hayo mafao anayopata ni kodi za wananchi pia anazunguka Zanzibar wanyimwe misaada wakati huo huo yeye bado anapokea mafao kazuia wanachama wa cuf kugombea nafasi za uwakilishi lakini yeye anaendelea kupata mafao kiukweli hata mimi namshangaa Shein
 
KWAHIYO UNASEMA KUWA KWA KAULI HIYO YA RAIS BASI NCHI INAKWENDA KUANGAMIA...IS IT?

HILO NDILO AMBALO MMEONA LINAANGAMIZA NCHI NA SUALA LA SEIF KUTOMPA MKONO RAIS SHEIN MLIONA NI JAMBO LENYE KHERI KWA MUSTAKABALI WA NCHI.

RAIS WETU MPENDWA MARA NYINGI AKIWA ANAZUNGUMZA HUWA PIA ANAIFURAHISHA HADHIRA YAKE KWA KUCHOMEKEA MANENO YA UTANI...NYIE BAVICHA MNAKAA ATTENTION KUSIKIA KAULI GANI ANAITOA MJE KUPOTOSHA HAPA KWA KUSEMA ANAMAANISHA....

RAIS JPM TUNAMFAHAM VIZURI NA TUNAIFAHAMU DHAMIRA ALIYONAYO KWA TAIFA LETU YA KUONA KILA MTU ANAISHI MAISHA MAZURI YENYE MATUMAINI. KUWEPO WATU WA KUMPINGA NA KUPOTOSHA HAIEPUKIKI KWAKUWA WAPO WATU AMBAO DHAHIRI HAWATAFURAHISHWA NA NIA YA SERIKALI YAKE YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UZEMBE KAZINI. WATU HAO NI WACHACHE UKILINGANISHA NA WANYONGE AMBAO TUKO WENGI NA TUNAMUUNGA MKONO...
Niltaka nikutukane ila bas mkuu nisamehe
 
Magufuli ni chaguo sahihi la Mungu pia ana maamuzi sahihi na yaki-NABII.. Hata mkono wa nabii ukinipitia sio mbaya..Mkwere mlisema ni mpole sasa amekuja rais imara mnalia.. Watanzania tuliishi kwa mazoea sana tunahitaji kupigwa na mkono wa chuma.
Najilaumu sana kupoteza mda wangu na kumpigia kura mtu huyu hakika ningejua bora ningempa lowasa
 
Back
Top Bottom