Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

ukweli ni kwamba maalimu seif hakutaka unafki hata wasipo saini haki zaki itakuwa ni muendelezo wa zulma tu ila katika dini zote mbili zulma ni thambi kubwa sana fikiria we hapo ulipo aliyekuzulumu utampa hata salamu yako?
Utakuwa ni muendelezo wa kutofuata katiba na watakuwa wanajiandalia njia ya kwenda icc
 
Huu sasa ni uchochezi! kwani alivyosaini kapungukiwa nini.
 
Hayo maneno ya magufuli hayakuwa maneno ya busara na hekima kama kiongozi wa nchi. Huyu mtu anahitaji kuthibitiwa.
Wapemba hawana maana yeyote, usipompigia kura Seif, basi husalimiwi, huzikwi wala huuziwi kitu dukani ! Hata Hotelini wakijua wewe ni CCM huuziwi chakula. Jamaa kwenye matokeo yaliyofutwa waliweka watu wakudhibiti CCM isipigiwe kura ! ........lugha ya Mheshimiwa ndo Wapemba wanaielewa vizuri
 
Bwana Mdogo sheria haifanyi kazi kinyumenyume

Ikatungwa sheria Leo Haiwezi kuhukumu ya JANA.

SHULE SHULE SHULE

You're not serious.

Cheki sheria mpya ya kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii imetungwa lini na inatumika kwa kina nani halafu urudi hapa.
 

Katiba si vikaratasi tu? Muda wa kujali katiba haupo tena.
 
Sheria inamtaka kusaini
 
Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Kweli kabisa mkuu. Huyu mtu kila akiongea ni visasi na hasira tu. Sijui ni baba wa aina gani. Sijui amelelewa katika mazingira gani? Sijui kweli kama ana imani ya dini yoyote kwasababu dini zote huhubiri upendo, amani, msamaha na mshikamano. Huyu anahubiri visasi, utengano, vitisho, na mabavu! Tulifikaje hapa?!
 
Kama rais hajui kuwa kusaini posho ni jambo la kisheria kwenye mambo mengine inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…