Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wanafikiri wanazitoa mifukoni mwaoSio hisani hizo anasaini kikatiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafikiri wanazitoa mifukoni mwaoSio hisani hizo anasaini kikatiba
Na vigeregerekundi la wapiga makofi
.........yatacheleweshwa mpaka 2020 !Malipo ya viongozi wastaafu yapp kwenye katiba na hawana namna ya kuyazuia
Utakuwa ni muendelezo wa kutofuata katiba na watakuwa wanajiandalia njia ya kwenda iccukweli ni kwamba maalimu seif hakutaka unafki hata wasipo saini haki zaki itakuwa ni muendelezo wa zulma tu ila katika dini zote mbili zulma ni thambi kubwa sana fikiria we hapo ulipo aliyekuzulumu utampa hata salamu yako?
Nani wa Kumthibiti?Hayo maneno ya magufuli hayakuwa maneno ya busara na hekima kama kiongozi wa nchi. Huyu mtu anahitaji kuthibitiwa.
Sio intruders ila invadersNinapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
Wewe nia yako siyo njema kabisa kwa member mwenzetuunamaanisha nini mkuu
Sawa asanteSio intruders ila invaders
Icc nayo inajiandaa kuongeza vifungu vya mashitakaNdo indirect asiifate tena
Wapemba hawana maana yeyote, usipompigia kura Seif, basi husalimiwi, huzikwi wala huuziwi kitu dukani ! Hata Hotelini wakijua wewe ni CCM huuziwi chakula. Jamaa kwenye matokeo yaliyofutwa waliweka watu wakudhibiti CCM isipigiwe kura ! ........lugha ya Mheshimiwa ndo Wapemba wanaielewa vizuriHayo maneno ya magufuli hayakuwa maneno ya busara na hekima kama kiongozi wa nchi. Huyu mtu anahitaji kuthibitiwa.
Katiba itakujibu tuutamfanya nini rais ukiweka pending makaratasi yako?
Bwana Mdogo sheria haifanyi kazi kinyumenyume
Ikatungwa sheria Leo Haiwezi kuhukumu ya JANA.
SHULE SHULE SHULE
Naye yatamkuta hayo hayo ya kucheleweshewa tu.........yatacheleweshwa mpaka 2020 !
Watamfunga Piere Bemba tu na si vinginevyo !Icc nayo inajiandaa kuongeza vifungu vya mashitaka
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Hata yeye Bemba alikuwa na maneno kama haya ya kwakoWatamfunga Piere Bemba tu na si vinginevyo !
Sheria inamtaka kusainiDini yangu mimi inanifundisha kuwa unafiki ni mmbaya kuliko kitu chochote.Na mtu mnafiki ni muuaji.
Labda nikuulize kidogo hayo Makaratas ya Maalim ambayo Shein anassin,yeye Shein anasain kama nani kwa Maalim ukizingatia kuwa Seif hamtambui Shein na serikali yake.
Kweli kabisa mkuu. Huyu mtu kila akiongea ni visasi na hasira tu. Sijui ni baba wa aina gani. Sijui amelelewa katika mazingira gani? Sijui kweli kama ana imani ya dini yoyote kwasababu dini zote huhubiri upendo, amani, msamaha na mshikamano. Huyu anahubiri visasi, utengano, vitisho, na mabavu! Tulifikaje hapa?!Jamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.