liberatus mbena
Member
- Jan 14, 2015
- 74
- 15
Hata mimi nilijaribu kutafuta content kwenye ile speech nikakosa nikagundua theme ilikuwa "mkono uliokataliwa" Nothing more trust usNdio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
Ushetani haswaashangaa,
watu wanajua kukufuru kweli
...........haswaa ...kama huyo Seif kumnunia Rais !Ndo utajua hii nchi ina watu hawajielewi kabisa
Hata mimi nisinge saini.
?So lowassa alilazimika au??!
Yes he is entitled!! It is constitutional!!?
wanaokataa salamu ya heri si wanataka shari? au kosa ni la pili la kwanza ni haki yao. Je mnahakika kuwa huyo Seif yupo in titled for matibabu ya nje ya nchi kikatiba?
Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
ni haki yake kisheria lazima usaini penda usipende.....Hata mimi nisinge saini.
.........umewahi kuona Jaji anavyo ahirisha kesi miaka 10 !?? ...ndo hivyo itakavyo kuwa.ni haki yake kisheria lazima usaini penda usipende.....
Katiba ya nchi ndo inaamua Co utashi wa mtu mkuuHata mimi sisaini.
........anataka anilipwe na anae amini amekula haramu ! ....jipange tena !Katika imani ya dini ya kiislam imekatazwa kabisa kulipiza ubaya kwa ubaya, Ni dhambi kulipiza kisasi kwa mtu ambaye unahisi kua hajakutendea jema.Katika kitabu kitukufu cha Quran inatamkwa kua ni mwiko kabisa kulipa kusasi.Sijui vitabu vingine vinasemaje katika hilo lakini naamini sio jambo njema na haviruhusu hali hiyo.
Inaruhusiwa kutompa mkono mtu ambaye unahisi amekiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu,na ni mtu ambaye amejiandaa kuitia mikono yako katika Shari! Si kosa kukataa kumpa mkono yeyote ambaye wewe unahisi anakula haramu huku akijua kua haramu ni kosa.
Ikumbukwe kua Suala la kumhudumia Maalim Seif sio la Dkt Shein wala Rais Magufuli bali ni utaratibu wa kikatiba. Seifu analazimika kukubali kuhudumiwa na kinachotokana na katiba ya wananchi wa Zanzibar, Dkt Shein naye analazimishwa na katiba kufanya hivyo maana pengine kwa nafsi yake asingekubali. Anayemtunza Maalim Seif kama waziri kiongozi na Makam wa Rais mustaafu ni Wananchi wa Zanzibar na sio Dkt Shein.
Kwahiyo kusikiliza maneno aliyoyasema Rais Magufuli tutapandikiziana mbegu za ubaguzi,Chuki na kuendelea kusababisha utengano katika jamii. Dkt Shein anatakiwa kuangalia imani yake inasemaje na sio misukumo ya kisiasa.Sisi sote ni ndugu, taifa ni moja tuepuke kauli za kutubagua.
.........kwanini alilala mlango wazi !??kutokupokea mkono limekua jambo kubwa kuliko wizi alofanyiwa .....
Hata mimi sisaini.