Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Kuna ulazima kupeana mikono? Mbona we ukienda msibani uwapi mikono watu? Ala? Nani asiejua Zanzibar kukoje? Uvumilivu tu kule na ashukuriwe maalim kupoz kwengine sàhiz kinawaka hamuoni TV? Juz nchi Fulani makosa kama Yale leo wanauana huku hatupend hivyo achane ushabiki
 
Ha ha haa!..ndugu yetu ana matatizo makubwa mno
 
So lowassa alilazimika au??!
?
wanaokataa salamu ya heri si wanataka shari? au kosa ni la pili la kwanza ni haki yao. Je mnahakika kuwa huyo Seif yupo in titled for matibabu ya nje ya nchi kikatiba?
 
?
wanaokataa salamu ya heri si wanataka shari? au kosa ni la pili la kwanza ni haki yao. Je mnahakika kuwa huyo Seif yupo in titled for matibabu ya nje ya nchi kikatiba?
Yes he is entitled!! It is constitutional!!
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.

Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?

Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.

Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
LAW. 19:18 SUV
http://bible.com/164/lev.19.18.SUV
 
Ndiyo ajue mwenzake anajuwa Sheria yeye si anaikanyaga? Tunafuata Sheria inasemaje na si mtu km yeye atakavyo Watanzania hatuna Utamaduni huo kwanza tunamshangaa sana yeye ni kweli mwenzetu au ni nini"
 
Tupia neno juu ya kutotoa mkono, nadhani maalim alilazinishwa kuhudhuria msiba maana yeye ndo chanzo cha mjimwema
Hatari sana..,...nafikiri akina lowasa,sumaye watanyanyasika sana kupata haki zao,wawe wepesi kuuambia umma endapo itatokea,mbona hii ni haki ya kisheria!! Kulikoni!!! Sheria yenyewe si ya muungano!!
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.

Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?

Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.

akatae vipi kusaini wakati ni haki yake kisheria?
 
Katika imani ya dini ya kiislam imekatazwa kabisa kulipiza ubaya kwa ubaya, Ni dhambi kulipiza kisasi kwa mtu ambaye unahisi kua hajakutendea jema.Katika kitabu kitukufu cha Quran inatamkwa kua ni mwiko kabisa kulipa kusasi.Sijui vitabu vingine vinasemaje katika hilo lakini naamini sio jambo njema na haviruhusu hali hiyo.

Inaruhusiwa kutompa mkono mtu ambaye unahisi amekiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu,na ni mtu ambaye amejiandaa kuitia mikono yako katika Shari! Si kosa kukataa kumpa mkono yeyote ambaye wewe unahisi anakula haramu huku akijua kua haramu ni kosa.

Ikumbukwe kua Suala la kumhudumia Maalim Seif sio la Dkt Shein wala Rais Magufuli bali ni utaratibu wa kikatiba. Seifu analazimika kukubali kuhudumiwa na kinachotokana na katiba ya wananchi wa Zanzibar, Dkt Shein naye analazimishwa na katiba kufanya hivyo maana pengine kwa nafsi yake asingekubali. Anayemtunza Maalim Seif kama waziri kiongozi na Makam wa Rais mustaafu ni Wananchi wa Zanzibar na sio Dkt Shein.

Kwahiyo kusikiliza maneno aliyoyasema Rais Magufuli tutapandikiziana mbegu za ubaguzi,Chuki na kuendelea kusababisha utengano katika jamii. Dkt Shein anatakiwa kuangalia imani yake inasemaje na sio misukumo ya kisiasa.Sisi sote ni ndugu, taifa ni moja tuepuke kauli za kutubagua.
........anataka anilipwe na anae amini amekula haramu ! ....jipange tena !
 
Hata mimi sisaini.

Hata mimi sisaini. Maalim ameivuruga sana ZNZ. JPM tu ndo dawa yake. Mi ananiuzi kila kukicha. Kampata saizi yake sasa. Aanzishe na yeye UKUT tuone. Oyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hapo ndo Nampendaga mie Magufuli
 
Back
Top Bottom