That's right. Watu wanakamatwa kwa madai ya kuchonganisha wananchi na serikali yao. Okay.Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Rais anawaambia watu Jecha apewe tuzo wakati 50% (let's just assume uchaguzi was a tie), 50% ya Wanzanzibari wanaamini Jecha hakuwatendea haki. Sasa hawa raia, nusu ya population, kulikuwa na haja gani kuwachoma vidole machoni kwa kuwakumbusha masuala ya Jecha eti apewe tuzo?
Hapo ni nani anachochea watu wamchukie Magufuli au waichukie Serikali, kama sio yeye Rais?