iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Mimi pia....hebu anzisha UziUkimya wa viongozi wa ngazi zote za CCM unanitia mashaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia....hebu anzisha UziUkimya wa viongozi wa ngazi zote za CCM unanitia mashaka.
Inachosha kuunganisha watu wasio taka kuungana. Njia pekee ni kulazimisha wajione hawakosalama katika kiburi chao . Umhimu wa kutafuta Salama utawaunganisha.Hekma na busara ni Kitu muhimu sana katika kuwaungaisha wananchi wako. Rais kawatenganisha wazanzibari Jana badala ya kuwaunganisha.
Btw huu Uenyekiti wa CCM hapa JF kakupa nani? au ndio mambo ya kujitengenezea njia uonekane. Haya kila la kheri.
Kuwapatanisha kitu gani? Hayo si ni sawa na yale ya ukawa kukaa chini na serikali ili wasiandamane ni haiwezekani,af umekosea mkuu akili yang haiendeshwi na viroba kama nyumbu.Sawa haikuwa busara je kauli ya Magufuli unaona ndio inawapatanisha au inazidi kuwatenganisha. Tafadhali naomba unijibu ukiwa hujanywa pombe
Ameshawatisha wakatishikaUkimya wa viongozi wa ngazi zote za CCM unanitia mashaka.
Ninapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa
Ni kuwa wapole tuJamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Basi bana hapo ndio mwisho wa akili yako. Jumapili njemaKuwapatanisha kitu gani? Hayo si ni sawa na yale ya ukawa kukaa chini na serikali ili wasiandamane ni haiwezekani,af umekosea mkuu akili yang haiendeshwi na viroba kama nyumbu.
Hujui nako ni kiongozi mkuu? Nani ataongea?Ukimya wa viongozi wa ngazi zote za CCM unanitia mashaka.
Hahaaaaa nawe pia mkuuBasi bana hapo ndio mwisho wa akili yako. Jumapili njema
Unaota kuhusu nini?Hivi ni Kweli au Naota?
Wananchi ndo wamemkabidhi hizo pesa Dk Shein, na yeye ndo anapanga matumizi hiyo ndo akili ndefu uliyopaswa kuwa nayo baana !Kwani hizo pesa shein anatoa mfukoni kwake si kodi za wananchi? Wacheni kuwa na akili fupi bana .
Alotugombanisha wa zanzibari ni seif wala sio magufuli. Alokisema rais Magufuli ni kweli huwezi kumkataa na kusema huutambui utawala wa Shein halafu Shein huyo huyo akisain pesa unamtambua na kuzichukuwa.Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??