Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Anajua kwa ufasaha anachokifanya, lakini pengine hajui ni kipi tunataka afanye!!

Sisi tunapomshangaa na yeye anakasirishwa na kushangaa kwetu!!
 
Hekma na busara ni Kitu muhimu sana katika kuwaungaisha wananchi wako. Rais kawatenganisha wazanzibari Jana badala ya kuwaunganisha.
Btw huu Uenyekiti wa CCM hapa JF kakupa nani? au ndio mambo ya kujitengenezea njia uonekane. Haya kila la kheri.
Inachosha kuunganisha watu wasio taka kuungana. Njia pekee ni kulazimisha wajione hawakosalama katika kiburi chao . Umhimu wa kutafuta Salama utawaunganisha.
 
tumeipenda wenyewe wacha tuisome namba weeeeeeeee! fisiemu mbele kwa mbele na kuna watu wataipigia kura 2020 bongo wagumu kuelewa tumeweka ushabiki mbele sana
 
Sawa haikuwa busara je kauli ya Magufuli unaona ndio inawapatanisha au inazidi kuwatenganisha. Tafadhali naomba unijibu ukiwa hujanywa pombe
Kuwapatanisha kitu gani? Hayo si ni sawa na yale ya ukawa kukaa chini na serikali ili wasiandamane ni haiwezekani,af umekosea mkuu akili yang haiendeshwi na viroba kama nyumbu.
 
Ninapatwa na mashaka mengi kuwa pengine kuna wakati bob anakuwa sio yeye yaani akili yake inapata intruders. .na hili linasemwasemwa



Walikamatwa pabaya .....wakaona hakuna namna ila kumleta huyu aokoe jahazi .lakini ngondo ipo ....
Au labda ni mpango mkakati wa kuzika upinzani ...??
Angalia bara wanavyo saganywa halafu unga dot !
 
Visasi sio jambo jema "MTU akikupiga kofu shavu LA kulia mgeuzie na la kushoto pia" Rais wetu asome maandiki
 
Kuwapatanisha kitu gani? Hayo si ni sawa na yale ya ukawa kukaa chini na serikali ili wasiandamane ni haiwezekani,af umekosea mkuu akili yang haiendeshwi na viroba kama nyumbu.
Basi bana hapo ndio mwisho wa akili yako. Jumapili njema
 
Kwani hizo pesa shein anatoa mfukoni kwake si kodi za wananchi? Wacheni kuwa na akili fupi bana .
Wananchi ndo wamemkabidhi hizo pesa Dk Shein, na yeye ndo anapanga matumizi hiyo ndo akili ndefu uliyopaswa kuwa nayo baana !
 
Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Alotugombanisha wa zanzibari ni seif wala sio magufuli. Alokisema rais Magufuli ni kweli huwezi kumkataa na kusema huutambui utawala wa Shein halafu Shein huyo huyo akisain pesa unamtambua na kuzichukuwa.
 
Back
Top Bottom