Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Labda awe Seif !.......hatutashangaa, kaweza kumnyima mtu mkono ashindwe pesa !?Naye yatamkuta hayo hayo ya kucheleweshewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda awe Seif !.......hatutashangaa, kaweza kumnyima mtu mkono ashindwe pesa !?Naye yatamkuta hayo hayo ya kucheleweshewa tu
Hujajib swali,anasaini kama nani kwa Maalim wakati Maalim hamtambui Shein na serikali yake kwa tafsir ya Maalim Znz hakuna Rais na ndio maana nasema unafiki ni mmbaya sana na mtu mnafiki ni muuaji,JPM kwa hilo namuunga mkono hakuna sababu ya Shein kusaini makaratas ya Maalim ukizingatia Maalim hamtambui!Sheria inamtaka kusaini
basi huyo maalim aifate hiyo katiba imsainieKwani Shein anaamua yeye au katiba ya nchi ndo inamfanya asaini
Sefu alivyokataa mkono alikuwa anawaunganisha wazanzibari?..Sasa wewe kwa akili yako hiyo nusu ulojaaliwa rais anawaunganisha au anawatenganisha wazanzibari? Ndiyo maana Nabii Suleiman as alimuaomba Mwenyezi Mungu Hekma.
Hujaona visasi vya Waemba wa cuf kuwanyanyasa ccm huko Pemba !?? mpaka wanawekewa vikwazo vya uchumi ? useless wapemba cuf !Kweli kabisa mkuu. Huyu mtu kila akiongea ni visasi na hasira tu. Sijui ni baba wa aina gani. Sijui amelelewa katika mazingira gani? Sijui kweli kama ana imani ya dini yoyote kwasababu dini zote huhubiri upendo, amani, msamaha na mshikamano. Huyu anahubiri visasi, utengano, vitisho, na mabavu! Tulifikaje hapa?!
Mungu atusaidie sana! Hivi kwanini tumechagua kumpotosha rais wetu mpendwa? Wewe unang'ang'ania Seif hamtambui Shein kama hoja ya kutosaini, serious? Suala hili ni la kisheria na kikatiba, Seif asipomtambua Shein urais wake unakoma? Hebu tuache kujitoa akili kwenye masuala nyeti kwa mustakabali wa taifa letu tafadhali!Hujajib swali,anasaini kama nani kwa Maalim wakati Maalim hamtambui Shein na serikali yake kwa tafsir ya Maalim Znz hakuna Rais na ndio maana nasema unafiki ni mmbaya sana na mtu mnafiki ni muuaji,JPM kwa hilo namuunga mkono hakuna sababu ya Shein kusaini makaratas ya Maalim ukizingatia Maalim hamtambui!
Duuu mkuu umeamua kujitoa mhanga,uogopi?Mkuu mbona wenyeji wa huko wanalijua hilo ndio maana wao wanamuitaga '********'....
Inasikitisha kwamba tumevuruga na kusigina katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado hatujaona imetosha tumeamua kuwafuata na wazanzibar ambao taratibu maumivu waliyoyapata uchaguzi wa mwaka jana yalikuwa yameanza kupoa, tunawachochea tena kuzidi kuhasimiana huku tukiwashauri wasigine kwa mara nyingine tena katiba yao! Mungu atusaidie sana!Kweli kabisa mkuu. Huyu mtu kila akiongea ni visasi na hasira tu. Sijui ni baba wa aina gani. Sijui amelelewa katika mazingira gani? Sijui kweli kama ana imani ya dini yoyote kwasababu dini zote huhubiri upendo, amani, msamaha na mshikamano. Huyu anahubiri visasi, utengano, vitisho, na mabavu! Tulifikaje hapa?!
Rais anaendeleza mgawanyiko
watu wanakaba mpaka mate,, ukitema wanafukiaHii inaitwa man to man kwenye mpira ukikabwa man to man huwezi funga
Hahahah kumbe una support uchocheaji wa uhasama kama alioufanya Seif sio. Amefanya vizuri sana sana. Daaaa. Basi sawa. Akisema mwingine linakuwa kosa. Utaratibu kwa kisheria hauwezi pingwa kwa sababu upo. Ila Magufuli anajaribu kuonyesha dhamira ya moyo kama binadamu, kama unadharauriwa basi ujue autimatically hata ungekuwa wewe response yako ingekuwa negative. Huo ni katika ubinadam. Anyway. Tumsamehe Seif kwa sababu asingefanya vile basi matamshi kama haya tusingeyasikiahizo pesa anazosaini Shein ni zake au ni kodi zetu? Hayo mambo ya kupeana mikono yako kwenye sheria gani? mnataka kutumia ofisi za umma kwa mahaba yenu?
ila haimlazimishi ! ......maana hakuna adhabu ikiachaSheria inamtaka kusaini
Nani kwa jinaRais
Nani?Duu ndugu umejitoa mhanga jamani uogopi????