Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

vipi hua haulambi lambi na lips? kukata kata vi jani je? wanaume wengine bwana!!
Usiwe unaqoute wanaume kizembe zembe hivyo,huna hoja tembea au reply kwa watu wa mlengo wako u stiff insolent naked fool
 
Katika imani ya dini ya kiislam imekatazwa kabisa kulipiza ubaya kwa ubaya, Ni dhambi kulipiza kisasi kwa mtu ambaye unahisi kua hajakutendea jema.Katika kitabu kitukufu cha Quran inatamkwa kua ni mwiko kabisa kulipa kusasi.Sijui vitabu vingine vinasemaje katika hilo lakini naamini sio jambo njema na haviruhusu hali hiyo.

Inaruhusiwa kutompa mkono mtu ambaye unahisi amekiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu,na ni mtu ambaye amejiandaa kuitia mikono yako katika Shari! Si kosa kukataa kumpa mkono yeyote ambaye wewe unahisi anakula haramu huku akijua kua haramu ni kosa.

Ikumbukwe kua Suala la kumhudumia Maalim Seif sio la Dkt Shein wala Rais Magufuli bali ni utaratibu wa kikatiba. Seifu analazimika kukubali kuhudumiwa na kinachotokana na katiba ya wananchi wa Zanzibar, Dkt Shein naye analazimishwa na katiba kufanya hivyo maana pengine kwa nafsi yake asingekubali. Anayemtunza Maalim Seif kama waziri kiongozi na Makam wa Rais mustaafu ni Wananchi wa Zanzibar na sio Dkt Shein.

Kwahiyo kusikiliza maneno aliyoyasema Rais Magufuli tutapandikiziana mbegu za ubaguzi,Chuki na kuendelea kusababisha utengano katika jamii. Dkt Shein anatakiwa kuangalia imani yake inasemaje na sio misukumo ya kisiasa.Sisi sote ni ndugu, taifa ni moja tuepuke kauli za kutubagua.
 
Dr. Shein akifuata ushauri ule, ataiingiza zanzibar na wazanzibari wenzake kwenye matatizo makubwa
 
kutokupokea mkono limekua jambo kubwa kuliko wizi alofanyiwa .....
 
shein ameibiwa mchana kweupeeeee dunia nzima inaona na ikakaa kimya ....yeye kutopokea mkono tu kibao kimemgeukia ......my president you have to think
 
Biblia inatufundisha kuwapenda adui zetu na kuwatendea mema wanaotuuzi lakini pia inatutaka KUWATII wenye mamlaka.Sasa mtu anapewa mkono na Rais halafu yeye anaukataa mkono ule huko ni kukosa UTII na kwahiyo kanuni za kimamlaka kama zipo ni ruksa kutumika.Hapa ni vizuri kutenganisha ya Mungu na ya kaisari
 
Mungu yupi, au miungu!
Mh rais alikuwa natania nakuonesha Shein alivyomuungwana na mvumilivu.Hivi si mnakumbaka enzi za Comando? yule hakuwa mvumilivu hivyo Mh Magufuri kaapreciate.Watu tufikilie zaidi.
 
Back
Top Bottom