Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Kwani kumshika mkono mtu ni lazima? Sheria gani ilivunjwa?Mlioushangilia wakatoliki and ule wa mazishi ya Aboud Jumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumshika mkono mtu ni lazima? Sheria gani ilivunjwa?Mlioushangilia wakatoliki and ule wa mazishi ya Aboud Jumbe
Katika imani ya dini ya kiislam imekatazwa kabisa kulipiza ubaya kwa ubaya, Ni dhambi kulipiza kisasi kwa mtu ambaye unahisi kua hajakutendea jema.Katika kitabu kitukufu cha Quran inatamkwa kua ni mwiko kabisa kulipa kusasi.Sijui vitabu vingine vinasemaje katika hilo lakini naamini sio jambo njema na haviruhusu hali hiyo.
Inaruhusiwa kutompa mkono mtu ambaye unahisi amekiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu,na ni mtu ambaye amejiandaa kuitia mikono yako katika Shari! Si kosa kukataa kumpa mkono yeyote ambaye wewe unahisi anakula haramu huku akijua kua haramu ni kosa.
Ikumbukwe kua Suala la kumhudumia Maalim Seif sio la Dkt Shein wala Rais Magufuli bali ni utaratibu wa kikatiba. Seifu analazimika kukubali kuhudumiwa na kinachotokana na katiba ya wananchi wa Zanzibar, Dkt Shein naye analazimishwa na katiba kufanya hivyo maana pengine kwa nafsi yake asingekubali.Anayemtunza Maalim Seif kama waziri kiongozi na Makam wa Rais mustaafu ni Wananchi wa Zanzibar na sio Dkt Shein.
Kwahiyo kusikiliza maneno aliyoyasema Rais Magufuli tutapandikiziana mbegu za ubaguzi,Chuki na kuendelea kusababisha utengano katika jamii. Dkt Shein anatakiwa kuangalia imani yake inasemaje na sio misukumo ya kisiasa.Sisi sote ni ndugu, taifa ni moja tuepuke kauli za kutubagua.
Hata mimi nisinge saini.
Duuh, kama ni hivyo watz waliochagua upinzani majimbo yao yasingeletewa miradi ya maendeleo kwa mtaji huuHata mimi sisaini.
Kwani kumshika mkono mtu ni lazima? Sheria gani ilivunjwa?
Ah nimeuliza tu. Kuna uhuiano gani kati ya kushikana mikono na uendeshaji wa nchi? Haki za Seif zipo kisheria au ni hisani tu kutoka kwa mtu?Kauli zako zinaonekana zina harufu ya utovu wa maadili, hivyo judgement zako zina msukumo wa utukutu tu sio tafakar ya hekima. Kaa pemben
Sawa na wewe unaona sawa sheria zivunjwe kirejareja hovyo!! Kwani Magu hana namna nyingine ya kushughulikia migogoro badala ya kutoka povu kama siye?!! Inamuharibia huo siyo uraisNyie mna matatizo sana. Yaani Maalim Seif afanye ujinga kisha aachwe tu kwa vile ana haki ya kupokea mafao?