Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Sio flat rate jombaa... Kila mtu na mshahara wake then unapigia hiyo 15% yake.. its a good money

Nimeshindwa kumuweka kundi gani huyo
15% ni nyingi mno kwa kupandishiwa mshahara
Hapa [emoji636] huwa mshahara ukipandishwa ni 6.6% na sana ikizidi 6.8% na wanafurahi sio haba

Sasa 15% anaiona ndogo maajabu haya
 
Kwa hiyo mwezi huu mtaishi kwa kubahatisha bahatisha ?

Kama nchini Zanzibar kafanya maamuzi hayo kwa wafanyakazi wa serikali yake, kwa nini jambo hili lisiwe la uwazi kabisa kwa upande huu wa Tanganyika?
 
Nimeshindwa kumuweka kundi gani huyo
15% ni nyingi mno kwa kupandishiwa mshahara
Hapa [emoji636] huwa mshahara ukipandishwa ni 6.6% na sana ikizidi 6.8% na wanafurahi sio haba

Sasa 15% anaiona ndogo maajabu haya
Ongezeko la 6.8 kwenye mshahara take home 1, 500, 000 ni sawa na sh. Ngapi?

 
Nani Kasema nchi moja hz nchi mbili tofauti😀😀
 
Hana uwezo wa kuongeza 47,000 trust me.
Nchi inaongozwa na wengine yenye ni msimamizi tu.
Hao wanaoongoza nchi sasa hivi si walipsndisha mishahara nyakati za utawala wao ?

I hope kama wanamcontrol basi watamcontrol na mishahara aongeze kama alivyofanyaga yeye.

Kinyume na hapo itakuwa haongozwi kama mnavyodai
 
Mimi naomba msaada jinsi ya kutafuta hizo % mfano mtu mwenye basic salary 750,000 kwa nyongeza ya 15% ongezeko itakuwa sh ngapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…