TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

Habari ya kusikitisha sana pole nyingi kwa familia na taifa kwa ujumla, nadhani alihusika kwa namna moja ktk kutoa msaada wa kuokoa maisha ya mmoja wa wagombea wa urais alipopata shida kama sipo chaka.

Bado lingalipo tumaini ng'ambo ya kaburi asubuhi ile njema Kristo arudipo mara ya pili.
 
Rip Mzee Turku, huyu mzee alisaidia kulipia ndege ya kumsafirisha lissu kwenda Nairobi, mashetani yalipo mshambulia kwa risasi 38
 

Huyu mama roho ya u mama hanayo tena kisa madaraka lakini inshalaah Mungu atajibu
 
Sote ni wa Mwenyezimungu na kwakentutarejea.

Huyu ndie mmiliki wa boti ziendazo kasi za Zanzibar one?
 
Point of lesson.

Wema hauozi.

Licha ya mzee Turky kuwa sehemu ya chama Cha CCM ila watu wanakumbuka Mema Yake.

Sote ni binadamu tutende mema. Tulindiane haki zetu za kuishi.
 
Kama kuna mwanaCCM wa kuiona pepo, huyu jamaa anaweza kuwa mmoja wao, alifanya ule uwe mwema wa kusaidia kuokoa maisha ya Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi ili afe na huku wanaCCM wengi wakifurahi na kushangilia huku wakisubiria kuona Lissu anafariki.
 
Kwani iliyo msaidia ni ccm au ni turk na huyo turk aliwakopesha chadema pesa kwa sababu hafla ile ilikua hapana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…