Asante Mkuu kwa kumpa Taslimu huyo Mbojo.Hakuna ubaguzi acha porojo watu wasingeenda ...Ubaguzi upi au umezaliwa mwaka 2000..Sehemu yenye ubaguzi hata kwenda huwezi kwenda wala walikuwa wakisema wabara wana vichongo , wakija huku tunawaita wazenji wamelegea wazee wa urojo.
Huu ni utani wa karne miaka kibao.. kubaguliwa ulipigwa ukauliwa ,ulikosa huduma kisa ni mbara?
Kwahiyo nawe unaamini kajiuzuru?Huyo ni mpumbavu
Kunywa kistaarabu ndio kukoje kwamba usinywe hadi ukawa mlevi kupindukia ikawa madhara kijamii au usinywe hadi ukapata madhara ya kiafya?Ati unaambiwa usinywe Pombe ya Duniani subiri mpaka UFE halafu utaenda kunywa huko MBINGUNI.π€¨π€¨ππ€£π€£
Mimi nasemaga hivi CHANGANYA NA ZAKO Ulabu ni hapa hapa Breweries nyingine Stori tu.
Ila kunywa kistarabu.
Ni nchi kama zilivyo nchi zengine.Saudi Arabia wafungua Duka la kwanza la Pombe
Ni nchi kama zilivyo nchi zengine.
Eh kwani Zanzibar wameruhusu ushoga na madawa ya kulevya?Zanzibar mna vituko. Eti pombe hapana, lakini kufirana na madawa ni sawa
Ndio mkuu au unataka kusema walivyofanya hivyo walitoa kifungu kutoka kwenye kitabu?Au sio
πππNi nchi kama zilivyo nchi zengine.
Ndio mkuu Saudia ni nchi kama nchi zengine na hufanya maamuzi yake kama nchi zengine, Saudia kuruhusu pombe haina mahusiano na dini ya uislamu na ndio maana hauoni kelele kutoka kwa waislamu.πππ
Usiwe Alcoholic kwamba inafikia hata hela ya matumizi huachi nyumbani,na pia usinywe mpaka kujinyeaKunywa kistaarabu ndio kukoje kwamba usinywe hadi ukawa mlevi kupindukia ikawa madhara kijamii au usinywe hadi ukapata madhara ya kiafya?
Uislamu ni dini ya Taifa Kwa Saudia. Ni zaidi ya tamaduni kwao. Uamuzi wa utawala wa Saudi ni sheria hata kama wahafidhina(wenye msimamo mkali) wakipinga ni kazi Bure . Kwamba hatuoni kelele, ni vile hakuna namna utaweza kusikia ripoti za kupinga maamuzi ya mtawala kwenye vyombo vyao vya habari. Hakuna nafasi hiyo, na wala hawaoni hatari kukupoteza Kwa kumpinga mtawala.Ndio mkuu Saudia ni nchi kama nchi zengine na hufanya maamuzi yake kama nchi zengine, Saudia kuruhusu pombe haina mahusiano na dini ya uislamu na ndio maana hauoni kelele kutoka kwa waislamu.
Hayo tu ndio unaona hayafai mtu kuyafikia katika ulevi wa pombe?Usiwe Alcoholic kwamba inafikia hata hela ya matumizi huachi nyumbani,na pia usinywe mpaka kujinyea
Sasa huo mfano wa Saudia ulikuwa na maana gani katika hii mada?Uislamu ni dini ya Taifa Kwa Saudia. Ni zaidi ya tamaduni kwao. Uamuzi wa utawala wa Saudi ni sheria hata kama wahafidhina(wenye msimamo mkali) wakipinga ni kazi Bure . Kwamba hatuoni kelele, ni vile hakuna namna utaweza kusikia ripoti za kupinga maamuzi ya mtawala kwenye vyombo vyao vya habari. Hakuna nafasi hiyo, na wala hawaoni hatari kukupoteza Kwa kumpinga mtawala.
Hupo sahihi Zenji life humu sana, watu wanapigwa pass ndefu sana, kukalia maboflo kawaida,Hivi zanzibar gani hiyo iliyopiga hatua au kuna nyingine mm sijafika . Hii zanzibar inayoongoza kwa uchafu mlandege mtendeni michenzani zinanuka balaa mimaji michafu kama yote .wazanIbar ndo waafrica pekee wanaolala kwa kula bofro na chai maisha magumu sana mateja wamejaaa .wazenji wengi wachafu .wapemba wengi wanamakegete .wenye maisha bora ni wale wenye asiri kama waarabu ila hawa weusi ambao ndugu zetu wanatia huruma
Ungemuuliza niliyem_quote.Sasa huo mfano wa Saudia ulikuwa na maana gani katika hii mada?